Mama Wema Sepetu akiwachamba wale wote wanaosema mwanae ana umbo feki

Mama Wema Sepetu akiwachamba wale wote wanaosema mwanae ana umbo feki

Siku za karibuni kumekua na picha nyingi zmesambaa zikimwonyesha Wema Sepetu akiwa na umbo ambalo watu wengi hawakulielewa na wengi walikimbilia kusema kua Wema anatumia dawa za mchina kungeza makalio. Team Wema wengi walijitokeza na kumtetea Wema kua zile picha zilikua Edited huku wengine wakimlaumu Wema kwa hali aiyofikia.

Waswahili wanasema mtoto kwa mama hakua na ara tu baada ya mama Wema kuzisikia habari hizo aliamua kuvunja ukimya na kuwachamba wale wote wanaomsema vibaya mwanae kua katumia mchina. Unaweza tazama video hii hapa chini kumskia mama Wema akiongea kwa uchungu.


Duh! Kweli kumbe andiko la kama alivyo mamaye ndivyo alivyo bintiye.
 
South Afrika karibu kila mwanamke amejaaliwa, inaelekea kule tunaweza kukupoteza ndugu yetu.

Wako normal , ni kama huku kwetu, I happened to be there!
Fortunately sikupotea wala kupotezwa!
 
Mwanae karithi akili za mama yke 150% kuanzia upuuzi mpka kutukana ovyo.....huyu mama ndio anamharibu wema mana chochote mwanae akifanya anamsifia
 
Back
Top Bottom