Mama wema sepetu..

Mama wema sepetu..

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Apa alikuwa akimponda mawe mwandishi wa habari kutoka grobal publishers aitwae Shakoor jongo alipomfuata mama huyo nyumbani kwake maeneo ya sinza mori# through back 2012..
 
Attachments

  • 1390851650098.jpg
    1390851650098.jpg
    26.9 KB · Views: 1,917
Hapo juu ndo umeandika nini? Kama hujui kiingereza tumia kiswahili.. # grobal=global halafu through back= throw back
 
attachment.php

Huyu mama ningemuona wa maana kama angejaribu kumkanya mwanae kuhusu kutoka na waume za watu lakini yeye ni kinyume chake na anaonekana kufurahia mwanae anapokuwa na waume za watu....
 
yeye mwenyewe aliolewa na mme wa mtu,mzee sepetu alikuwa na mke mtasha kabla ya mama wema.Maji hufuata mkondo
 
Hapo juu ndo umeandika nini? Kama hujui kiingereza tumia kiswahili.. # grobal=global halafu through back= throw back

Kwa hyo mtu akikosea kuandika kiswahili pia asikitumie?? Fikiria kauli zako before typing, thanks for correction though
 
Utulivu sifuri,anajifanya bado msichana,wakati anastahili kuitwa bibi. Mtoto umeavyo.... Saizi unatapatapa kujidhalilisha tu.
 
yeye mwenyewe aliolewa na mme wa mtu,mzee sepetu alikuwa na mke mtasha kabla ya mama wema.Maji hufuata mkondo

We akae na huyo mtasha peke yake ni mama yake,wanaume wachache banaa
 
Apa alikuwa akimponda mawe mwandishi wa habari kutoka grobal publishers aitwae Shakoor jongo alipomfuata mama huyo nyumbani kwake maeneo ya sinza mori# through back 2012..
Hatari kweli
 
Hana tofauti mtoto wake.maji hufata mkondo
 
Back
Top Bottom