Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
Wanamtafutia sababu ili wamroge.Hasidi hana sababu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama anafamilia basi nashauri ajenge tu funika kombe mwanaharamu apite ni ushauri mzuri sana hasa ukiangalia kifo cha mama yake.Rafiki yangu ni mtoto wa pekee kwa mama yake. Mama yake ni mwenyeji wa Mtwara. Alikua mfanyabiashara na mzigo aliufuata Kariakoo. Katika mahangaiko ya kukusanya mzigo alikutana na mfanyabiashara kutoka Kaskazini. Walianza mahusiano kwakua mama alikua single.
Mzee alikua na familia yake na mama alishagonga 50. Baada ya muda mama akawa anasumbuliwa na afya, ndipo alipogundulika na uja uzito. Alimshukuru Mungu alilea mimba na kujifungua mtoto wa kiume huko kwao Mtwara.
Yule mzee kutoka Kaskazini alipofahamishwa ujauzito alisubiri mpaka mtoto anazaliwa. Kufika Mtwara alijiridhisha kuwa mtoto ni wa kwake. Alituma pesa kila mwezi na mara moja kwa mwaka alikwenda kuwajulia hali.
Mtoto alipofika umri wa miaka nane alimpeleka Nairobi kusoma shule ya boda. Mtoto aliendelea vizuri na masomo. Alifanikiwa kupata ajira. Aliweza kumjengea mama yake nyumba ya vyumba viwili vya kulala wana sebule kijijini bafu choo na jiko nje. Kwakua maji si ya uhakika. Kwa pale kijijini nyumba yao ilikua ni kivutio, iliitwa nyumba yenye chipping.
Mama alifariki ghafla kijana akiwa safari ya kikazi DRC Congo. Kutokana na imani ya dini, wajomba walimzika dada yao aliyeishi kufikia miaka 90+. Baada ya mazishi wajomba wamehamia kwenye nyumba ya dada yao.
Rafiki alifika kuona kaburi na kuwaonea wajomba. Sasa mti umeangukia choo, wajomba wanamtaka alete hela wakitengeneze. Sasa kijana anasema nyuma mnakaa nyinyi mimi ninahusikaje kutengeneza choo ilhali mama yangu ameshaaga dunia!
Japo havai sidiriamjomba ni mama
Najiulizaga sana jinsi Watz tunavyowaza.yaani hii hutokea mara nyingi sana.hapo mwisho watamwambia awe analeta na hela ya kulimia majani yanaota uwanjaniRafiki yangu ni mtoto wa pekee kwa mama yake. Mama yake ni mwenyeji wa Mtwara. Alikua mfanyabiashara na mzigo aliufuata Kariakoo. Katika mahangaiko ya kukusanya mzigo alikutana na mfanyabiashara kutoka Kaskazini. Walianza mahusiano kwakua mama alikua single.
Mzee alikua na familia yake na mama alishagonga 50. Baada ya muda mama akawa anasumbuliwa na afya, ndipo alipogundulika na uja uzito. Alimshukuru Mungu alilea mimba na kujifungua mtoto wa kiume huko kwao Mtwara.
Yule mzee kutoka Kaskazini alipofahamishwa ujauzito alisubiri mpaka mtoto anazaliwa. Kufika Mtwara alijiridhisha kuwa mtoto ni wa kwake. Alituma pesa kila mwezi na mara moja kwa mwaka alikwenda kuwajulia hali.
Mtoto alipofika umri wa miaka nane alimpeleka Nairobi kusoma shule ya boda. Mtoto aliendelea vizuri na masomo. Alifanikiwa kupata ajira. Aliweza kumjengea mama yake nyumba ya vyumba viwili vya kulala wana sebule kijijini bafu choo na jiko nje. Kwakua maji si ya uhakika. Kwa pale kijijini nyumba yao ilikua ni kivutio, iliitwa nyumba yenye chipping.
Mama alifariki ghafla kijana akiwa safari ya kikazi DRC Congo. Kutokana na imani ya dini, wajomba walimzika dada yao aliyeishi kufikia miaka 90+. Baada ya mazishi wajomba wamehamia kwenye nyumba ya dada yao.
Rafiki alifika kuona kaburi na kuwaonea wajomba. Sasa mti umeangukia choo, wajomba wanamtaka alete hela wakitengeneze. Sasa kijana anasema nyuma mnakaa nyinyi mimi ninahusikaje kutengeneza choo ilhali mama yangu ameshaaga dunia!
Nilipoongea nae nilimsihi alinde kumbu kumbu ya mama yake kwa wajukuu, alikua na hasira aliniambia wajukuu wataona picha zinatosha.Najiulizaga sana jinsi Watz tunavyowaza.yaani hii hutokea mara nyingi sana.hapo mwisho watamwambia awe analeta na hela ya kulimia majani yanaota uwanjani
Huyu dingi asingewekeza kwenye elimu na huyu bwana angekua mle mle.Waafrika kwa mali sijui tumelaaniwa na nani. Jamaa kajichanga kamjengea mama yake. Mama amefariki kwani hao wajomba hawana watoto upumbavu mtu. Ngoja nami nikahamie uwanja wa Chato kama urithi wangu kwa baba yangu.
Mtwara waongezwe kwenye list ya Madeni ya taifaRafiki yangu ni mtoto wa pekee kwa mama yake. Mama yake ni mwenyeji wa Mtwara. Alikua mfanyabiashara na mzigo aliufuata Kariakoo. Katika mahangaiko ya kukusanya mzigo alikutana na mfanyabiashara kutoka Kaskazini. Walianza mahusiano kwakua mama alikua single.