Mama yake ameshafariki ndugu wanamsubiri ajenge choo

Kama anafamilia basi nashauri ajenge tu funika kombe mwanaharamu apite ni ushauri mzuri sana hasa ukiangalia kifo cha mama yake.
 
Waafrika kwa mali sijui tumelaaniwa na nani. Jamaa kajichanga kamjengea mama yake. Mama amefariki kwani hao wajomba hawana watoto upumbavu mtu. Ngoja nami nikahamie uwanja wa Chato kama urithi wangu kwa baba yangu.
 
Najiulizaga sana jinsi Watz tunavyowaza.yaani hii hutokea mara nyingi sana.hapo mwisho watamwambia awe analeta na hela ya kulimia majani yanaota uwanjani
 
Najiulizaga sana jinsi Watz tunavyowaza.yaani hii hutokea mara nyingi sana.hapo mwisho watamwambia awe analeta na hela ya kulimia majani yanaota uwanjani
Nilipoongea nae nilimsihi alinde kumbu kumbu ya mama yake kwa wajukuu, alikua na hasira aliniambia wajukuu wataona picha zinatosha.

Yaani hakuna hata ile sehemu amaweza kufikia akienda kijijini kwao.
 
Mtwara waongezwe kwenye list ya Madeni ya taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…