Mama yake anamegwa na kaka wa girlfriend wake!

Mama yake anamegwa na kaka wa girlfriend wake!

Sijaona Tatizo lipo wapi !! Huyo mama Hajamzaa huyo binti na wala hajamzaa kama wa binti..!!! Labda kidogo tena kwa mbali kama ingekuwa mama anatembea na baba wa huyo binti ingeleta ka mushkeli kidogo tuuuuu!!!
 
mh TB hebu acha maskhara weye
 
mtoto wa kiume wa huyo mama ana girlfriend wake. kaka wa huyo girlfriend ndio anakula mama wa boyfriend wa dada yake!
 
mtoto wa kiume wa huyo mama ana girlfriend wake. kaka wa huyo girlfriend ndio anakula mama wa boyfriend wa dada yake!

Na maelezo yangu yanafuatana na mashairi yako !!!! Tuliza akili soma vizuri post yangu !!!!
 
mh TB hebu acha maskhara weye

Sasa First Lady jamani kuna tatizo gani hapo Mheshimiwa wangu!!! Mama anatembea na kaka wa binti na mtoto wa mama anataka kuoa binti mdogo wa baba wa kufikia ...sasa nini mbaya !!!

Damu haziingiliani hata tone moja..!!!!Tena kama wanaishi mbali mbali ni rahisi kwao kwasababu wange tumia usafiri mmoja kwa wakati mmoja katika makutano yao..!!!!
 
haya kweli masihara.....mama atembee na my shemeji to be!!!! hw does this sound??

TB i guess you are not being serious here!!!
anacheza huyo....
 
Vijana mmekwisha hadi wakwe zenu mnawakoleza. Mwee!!!!
 
Vijana mmekwisha hadi wakwe zenu mnawakoleza. Mwee!!!!

Huyo inaonyesha by the tym wanaanza , tayari ishu ya huyu mama ilikuwepo, so huyu mama ana haki ya kukataa huu uhusiano usiwepo!
 
Huyo inaonyesha by the tym wanaanza , tayari ishu ya huyu mama ilikuwepo, so huyu mama ana haki ya kukataa huu uhusiano usiwepo!
sawa je hao watoto nao wafanyeje manake ndo wameshapendana....​
 
Mbona ni jambo la ku-settle tu, Maza awe muwazi kwa kijana wake waone nani aachie ngazi ili mmoja wao aendeleze libeneke.
 
1. Hakuna uchafu hapo. Kwanza usikiite chakula cha mwezio ni uchafu. Mapenzi yana terminology ambazo ni relative in power and meanings. Wamekubaliana kila mmoja kwa wakati wake bila kujua mwenzake anafanya nini anga jirani. Kama wangekuwa wamekaa kikao wakakubaliana wafanye wafanyavyo, kidogo kauchafu kwenye chakula kangeseta sense.

2. Inawezekana hao watu walikuwa wanajiggy kwa siri sana kiasi kwamba kijana na girfriend wake hawakujua mama mkwe na shemeji wana-jiggy pia. Kama wangejua nina hakika vijana wangechachamaa mapema. WAzee yawezekana walijua, wakaona waendelee, maana huenda mambo yalikolea unono. Labda wazee walishaanza hata kabla ya vijana kujuana, au makutano ya vijana ndiyo yaliyowaweka karibu wazee nao wakaamua wakomaze undugu. Kama wangekuwa wanasema wazee wanataka kuoana wakati vijana nao wanataka kuoana hapo ingekuwa noma kiasi fulani, hasa kama wazee wanazo familia zao.

Leka
 
Back
Top Bottom