Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,296
- 3,398
Kiroho safi tu naomba kufunguka ya moyoni kidogo,Diamond ni miongoni mwa wasanii wachache wanayoiwakilisha vyema Tanzania kwenye anga ya muziki nje ya mipaka ya Tanzania na mara nyingi amekuwa akijinadi kwamba mama yake ndio mtu anayempenda kuliko wote duniani,(sina tatizo na hilo,ni jambo zuri because, mama ndio kila kitu).
Ingawaje ni maisha binafsi ya mama yake ila as long as anapenda kutembea na mwanae kwenye public area ambapo hupigwa picha na huambatana na mwanae kwenye event zake mbalimbali,naona ni wajibu sasa wa Diamond kumng`araisha mama yake katika upande wa mavazi.
sisemi kwamba avae vimini, skin jeans au mavazi ya kumdhalilisha la hasha ila kuna nguo nzuri nyingi tu za kiutu uzima ambazo mama yake anaweza kutinga kwa ufadhili na mkwanja wa mwanae hawezi kushindwa because diaomnd ana timu kubwa sana ambayo inamtegemwea anaoiita wasafi classic team wengine hawana kazi yoyote zaidi ya kuuza sura na kila siku wanaonekana kung`aa,nionavyo mtu anayepaswa kunga`aa kwanza ni mama yake alafui ndio wafuate wengine.
kilichonisukuma kuandika yote ni picha hiyo mdiamond na mama yake huko Nairobi yaani nahisi Diaomnd hakumtendea haki kumruhusu mama yake avae hivyo,
kwa mkwanja wa diaomond mama yake anapswa kuvaa mapigo ya dizaini hii
kilemba na nguo zilizoenda shule sio kumvalisha ma tshirt za vijana za kawaida na na sandals za kawaida sana,let your maa be expensive,picha zaidi
cc😡heaven on desert