Mama yake Diamond akiwa na mwanae mtaani Nairobi

Mama yake Diamond akiwa na mwanae mtaani Nairobi

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,296
Reaction score
3,398
Kiroho safi tu naomba kufunguka ya moyoni kidogo,Diamond ni miongoni mwa wasanii wachache wanayoiwakilisha vyema Tanzania kwenye anga ya muziki nje ya mipaka ya Tanzania na mara nyingi amekuwa akijinadi kwamba mama yake ndio mtu anayempenda kuliko wote duniani,(sina tatizo na hilo,ni jambo zuri because, mama ndio kila kitu).

Ingawaje ni maisha binafsi ya mama yake ila as long as anapenda kutembea na mwanae kwenye public area ambapo hupigwa picha na huambatana na mwanae kwenye event zake mbalimbali,naona ni wajibu sasa wa Diamond kumng`araisha mama yake katika upande wa mavazi.

sisemi kwamba avae vimini, skin jeans au mavazi ya kumdhalilisha la hasha ila kuna nguo nzuri nyingi tu za kiutu uzima ambazo mama yake anaweza kutinga kwa ufadhili na mkwanja wa mwanae hawezi kushindwa because diaomnd ana timu kubwa sana ambayo inamtegemwea anaoiita wasafi classic team wengine hawana kazi yoyote zaidi ya kuuza sura na kila siku wanaonekana kung`aa,nionavyo mtu anayepaswa kunga`aa kwanza ni mama yake alafui ndio wafuate wengine.

kilichonisukuma kuandika yote ni picha hiyo mdiamond na mama yake huko Nairobi yaani nahisi Diaomnd hakumtendea haki kumruhusu mama yake avae hivyo,

IMG_0090.JPG

kwa mkwanja wa diaomond mama yake anapswa kuvaa mapigo ya dizaini hii
beautiful.jpg
kilemba na nguo zilizoenda shule sio kumvalisha ma tshirt za vijana za kawaida na na sandals za kawaida sana,let your maa be expensive,picha zaidi

IMG_0008.JPG

cc😡heaven on desert
 
mjomba vipi...unasema wakiwa mitaa ya nairobi wakati ni JKNIA
 
Hyo pic mama diamond alikua kamsindikiza mwanae JNIA jaman achen kupotosha mambo mweeeh, na pia kavaa ivo sababu alijua anamsindikiza n kurud home kuna wakat mtu anatakuwa ayaishi maisha yake hajawa kama mwanae kuishi maisha fake yy bado ananafas ya kuyaish maisha yake mwenyewe
 
tujikumbushe ,video ya kwanza ya diaomond(ambayo wengi hawaijui wanfaikiri diamond video yake ya kwanza ni kamwambie)

Last edited by a moderator:
Daaa hhhh....!!! nimechekaje!!! hiyo picha ni halisi au... yaaani T-shirt na skirt ya mauamaua, socks na yeboyebo. Na hisi si kweli.
 
Hyo pic mama diamond alikua kamsindikiza mwanae JNIA jaman achen kupotosha mambo mweeeh, na pia kavaa ivo sababu alijua anamsindikiza n kurud home kuna wakat mtu anatakuwa ayaishi maisha yake hajawa kama mwanae kuishi maisha fake yy bado ananafas ya kuyaish maisha yake mwenyewe

pamoja nakuogopa kuonekana tunaishi maisha fake,kupendeza ni muhimu jamani tukubali tukatae sasa hivyo alivyovaa anatofauti gani na dada wa kazi za nyumbani kwake
 
pamoja nakuogopa kuonekana tunaishi maisha fake,kupendeza ni muhimu jamani tukubali tukatae sasa hivyo alivyovaa anatofauti gani na dada wa kazi za nyumbani kwake
Sasa akivaa sawa na dada wa kazi tatizo liko wapi kama yeye mwenyewe karidhika??!!! Watu huwa mnashangaza sana, wewe ni nani umpangie mtu cha kuvaa??!!
 
Sasa akivaa sawa na dada wa kazi tatizo liko wapi kama yeye mwenyewe karidhika??!!! Watu huwa mnashangaza sana, wewe ni nani umpangie mtu cha kuvaa??!!

hakuna mtu yeyote anaweza kumpangia mtu yoyote suala la kuvaa kwamba acae nini hata ukivaa bikini kariakoo ni uamuzi wa mtu.... Lkn kuna wakati tunashauriana wajameni
 
hakuna mtu yeyote anaweza kumpangia mtu yoyote suala la kuvaa kwamba acae nini hata ukivaa bikini kariakoo ni uamuzi wa mtu.... Lkn kuna wakati tunashauriana wajameni
Sasa unachoshangaa kitu gani?? Maana huo sio ushauri ni kumnanga!! Ushauri gani unatolewa na masimango kibao??
 
pamoja nakuogopa kuonekana tunaishi maisha fake,kupendeza ni muhimu jamani tukubali tukatae sasa hivyo alivyovaa anatofauti gani na dada wa kazi za nyumbani kwake

You must be Heaven on desert.
 
Back
Top Bottom