Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kwani wewe Matola, si pia unaheshima yako, vipi Diamond asiwe na Heshima yake.
Daaa hhhh....!!! nimechekaje!!! hiyo picha ni halisi au... yaaani T-shirt na skirt ya mauamaua, socks na yeboyebo. Na hisi si kweli.
hii dunia imeshaharibika!yeye diamond kila siku anawagongea watu dada zao na mademu wao asije akashangaa siku anapata baba wa kambo pasi kutarajia.......bongo watu wanatafuta tu draw!wewe unamchapia naye anakuchapia
Ina maana unadhani hakuna msela anayemmega Mama yake domo? Sikutegemea comment hii kutoka kwako.
Nimekuuliza kati ya JK na Pinda na Diamond ni nani mwenye heshima na hadhi katika jamii?
Jibu swali halafu unieleze kama huwa wanavaa kama Bongo movie?
Kiroho safi tu naomba kufunguka ya moyoni kidogo,Diamond ni miongoni mwa wasanii wachache wanayoiwakilisha vyema Tanzania kwenye anga ya muziki nje ya mipaka ya Tanzania na mara nyingi amekuwa akijinadi kwamba mama yake ndio mtu anayempenda kuliko wote duniani,(sina tatizo na hilo,ni jambo zuri because, mama ndio kila kitu).
Ingawaje ni maisha binafsi ya mama yake ila as long as anapenda kutembea na mwanae kwenye public area ambapo hupigwa picha na huambatana na mwanae kwenye event zake mbalimbali,naona ni wajibu sasa wa Diamond kumng`araisha mama yake katika upande wa mavazi.
sisemi kwamba avae vimini, skin jeans au mavazi ya kumdhalilisha la hasha ila kuna nguo nzuri nyingi tu za kiutu uzima ambazo mama yake anaweza kutinga kwa ufadhili na mkwanja wa mwanae hawezi kushindwa because diaomnd ana timu kubwa sana ambayo inamtegemwea anaoiita wasafi classic team wengine hawana kazi yoyote zaidi ya kuuza sura na kila siku wanaonekana kung`aa,nionavyo mtu anayepaswa kunga`aa kwanza ni mama yake alafui ndio wafuate wengine.
kilichonisukuma kuandika yote ni picha hiyo mdiamond na mama yake huko Nairobi yaani nahisi Diaomnd hakumtendea haki kumruhusu mama yake avae hivyo,
kwa mkwanja wa diaomond mama yake anapswa kuvaa mapigo ya dizaini hii
View attachment 134500
kilemba na nguo zilizoenda shule sio kumvalisha ma tshirt za vijana za kawaida na na sandals za kawaida sana,let your maa be expensive,picha zaidi
cc😡heaven on desert
Ina maana unadhani hakuna msela anayemmega Mama yake domo? Sikutegemea comment hii kutoka kwako.
Msimlaumu mama..tatizo ni hawa vijana wetu siku hizi hawachagui zawadi za kuwapa wazazi wao...
Huku kijijini kwetu siku hizi sio ajabu tena kumkuta bibi kizee wa miaka themanini anaingia church na li tshirt oversize la barcelona mgongoni limeandikwa Neymar......
Nyie ndo mnafanya vitu kuimpress watu,ina maana ye hajui kuna nguo kama hizo?acheni kupangia watu jinsi ya kuishi maisha yao
sory mkuu nimelielewa hilo baada ya kuwa nishapost na kama unvyojua huwezi kuedit title ningekuwa naweza ningeshaedit bt my main concern ilikuwa the way alivyovaa and not where she was ila kwa sababu lengo langu sio kuandika uongo ni kiroho safi tu unaweza kuireport hii thread.Muwe mnajiedit kabla ya kupost...
hapo ni Dar siyo KENYA,mama alisindikiza tu hakwenda Kenya,..
mbona thisisdiamond nimeandika kwa \kueleweka tu..
Ina maana unadhani hakuna msela anayemmega Mama yake domo? Sikutegemea comment hii kutoka kwako.
you got me wrong.