Mama yake Diamond akiwa na mwanae mtaani Nairobi

Mama yake Diamond akiwa na mwanae mtaani Nairobi

Kwani wewe Matola, si pia unaheshima yako, vipi Diamond asiwe na Heshima yake.

Nimekuuliza kati ya JK na Pinda na Diamond ni nani mwenye heshima na hadhi katika jamii?

Jibu swali halafu unieleze kama huwa wanavaa kama Bongo movie?
 
hii dunia imeshaharibika!yeye diamond kila siku anawagongea watu dada zao na mademu wao asije akashangaa siku anapata baba wa kambo pasi kutarajia.......bongo watu wanatafuta tu draw!wewe unamchapia naye anakuchapia
 
Ina maana unadhani hakuna msela anayemmega Mama yake domo? Sikutegemea comment hii kutoka kwako.
 
Huyo ni mama diamond sio diamond jamani
 
Muwe mnajiedit kabla ya kupost...
hapo ni Dar siyo KENYA,mama alisindikiza tu hakwenda Kenya,..
mbona thisisdiamond nimeandika kwa \kueleweka tu..
 
Nimekuuliza kati ya JK na Pinda na Diamond ni nani mwenye heshima na hadhi katika jamii?

Jibu swali halafu unieleze kama huwa wanavaa kama Bongo movie?

kaka unalinganisha heshima za watu na za rais na waziri mkuu. hapo kazi ipo.
 
Kiroho safi tu naomba kufunguka ya moyoni kidogo,Diamond ni miongoni mwa wasanii wachache wanayoiwakilisha vyema Tanzania kwenye anga ya muziki nje ya mipaka ya Tanzania na mara nyingi amekuwa akijinadi kwamba mama yake ndio mtu anayempenda kuliko wote duniani,(sina tatizo na hilo,ni jambo zuri because, mama ndio kila kitu).

Ingawaje ni maisha binafsi ya mama yake ila as long as anapenda kutembea na mwanae kwenye public area ambapo hupigwa picha na huambatana na mwanae kwenye event zake mbalimbali,naona ni wajibu sasa wa Diamond kumng`araisha mama yake katika upande wa mavazi.

sisemi kwamba avae vimini, skin jeans au mavazi ya kumdhalilisha la hasha ila kuna nguo nzuri nyingi tu za kiutu uzima ambazo mama yake anaweza kutinga kwa ufadhili na mkwanja wa mwanae hawezi kushindwa because diaomnd ana timu kubwa sana ambayo inamtegemwea anaoiita wasafi classic team wengine hawana kazi yoyote zaidi ya kuuza sura na kila siku wanaonekana kung`aa,nionavyo mtu anayepaswa kunga`aa kwanza ni mama yake alafui ndio wafuate wengine.

kilichonisukuma kuandika yote ni picha hiyo mdiamond na mama yake huko Nairobi yaani nahisi Diaomnd hakumtendea haki kumruhusu mama yake avae hivyo,

IMG_0090.JPG

kwa mkwanja wa diaomond mama yake anapswa kuvaa mapigo ya dizaini hii
View attachment 134500
kilemba na nguo zilizoenda shule sio kumvalisha ma tshirt za vijana za kawaida na na sandals za kawaida sana,let your maa be expensive,picha zaidi

IMG_0008.JPG

cc😡heaven on desert

Nyie ndo mnafanya vitu kuimpress watu,ina maana ye hajui kuna nguo kama hizo?acheni kupangia watu jinsi ya kuishi maisha yao
 
Ina maana unadhani hakuna msela anayemmega Mama yake domo? Sikutegemea comment hii kutoka kwako.

hujaninyaka poa babu!..yeye diamond akimega mademu si anakimbilia kwenye media watu wajue!...nachomaanisha kama kuna msela anajipigia huyu bi mkubwa naye auze sura na huyu bi mkubwa katika media ili wabongo wamjue baba wa kambo wa diamond!...........................ila unaweza ukakuta muhdini ngurumo ndo anapumzika kwa huyo bi mkubwa ndo maana kijana akaona siyo kesi kumtia fun cargo mshua wa kambo
 
Msimlaumu mama..tatizo ni hawa vijana wetu siku hizi hawachagui zawadi za kuwapa wazazi wao...

Huku kijijini kwetu siku hizi sio ajabu tena kumkuta bibi kizee wa miaka themanini anaingia church na li tshirt oversize la barcelona mgongoni limeandikwa Neymar......

..teh teh teh teh
 
Muwe mnajiedit kabla ya kupost...
hapo ni Dar siyo KENYA,mama alisindikiza tu hakwenda Kenya,..
mbona thisisdiamond nimeandika kwa \kueleweka tu..
sory mkuu nimelielewa hilo baada ya kuwa nishapost na kama unvyojua huwezi kuedit title ningekuwa naweza ningeshaedit bt my main concern ilikuwa the way alivyovaa and not where she was ila kwa sababu lengo langu sio kuandika uongo ni kiroho safi tu unaweza kuireport hii thread.
 
Back
Top Bottom