Mama yake Diamond akiwa na mwanae mtaani Nairobi

Mama yake Diamond akiwa na mwanae mtaani Nairobi

ungem-photo
nina wasiwasi na ww ndio heaven on desert ila hiyo ni privacy ya mtu siwwezi ingilia kumpiga picha bila idhini yake by the way kila siku anatuletea mapicha yake hapa y nijisumbue kumpiga picha.
 
Last edited by a moderator:
:msela: unajua usela ukizidi unakua usema mavi
 
Msimlaumu mama..tatizo ni hawa vijana wetu siku hizi hawachagui zawadi za kuwapa wazazi wao...

Huku kijijini kwetu siku hizi sio ajabu tena kumkuta bibi kizee wa miaka themanini anaingia church na li tshirt oversize la barcelona mgongoni limeandikwa Neymar......
 
Huyu mama,mama wema na mama lulu na mama kanumba watakuwa na matatizo makubwa sana
 
Bangi inakudhuru jiangalie.
mkuu nakuheshimu sana ujue lakini hapa umenishushia hadhi yangu,kipi kimekufanya unitukane hivyo?,mi nimeleta hiyo mada hapo kiroho safi tu sina nia ya kukashifu wala kumchafua mtu lengo ni kufikisah ujumbe tu na ikiwezekana mtu ufanyiwe kazi na wahusika nilivyoona mimi mama hakuvaa poa,na sio lazima wote tufanne mawazo kama uko tofauti na mawazo yangu unaweza kunielezea katika njia ya kistaarabu zaidi sio kama ulivyoandika hivyo!!
 
Unafahamu kama kudanganya tena kwa makusudi ni kosa hapa JF?

Unaweza kututhibitishia ni lini mama yake Diamond alikwenda Nairobi? Jiangalie bangi zinakupeleka vibaya.
 
Hiyo ni colour mix complete;
kibongo bongo inakwenda;
labda hiyo soksi tu au pengine ana tatizo la fungas sijui;

But yuko sawa tu mama wa watu jamani, looooh!!
 
true. Hapo Mama hakutoka vizuri kutokana na heshima ya Mwanae.
 
Kiroho safi tu naomba kufunguka ya moyoni kidogo,Diamond ni miongoni mwa wasanii wachache wanayoiwakilisha vyema Tanzania kwenye anga ya muziki nje ya mipaka ya Tanzania na mara nyingi amekuwa akijinadi kwamba mama yake ndio mtu anayempenda kuliko wote duniani,(sina tatizo na hilo,ni jambo zuri because, mama ndio kila kitu).

Ingawaje ni maisha binafsi ya mama yake ila as long as anapenda kutembea na mwanae kwenye public area ambapo hupigwa picha na huambatana na mwanae kwenye event zake mbalimbali,naona ni wajibu sasa wa Diamond kumng`araisha mama yake katika upande wa mavazi.

sisemi kwamba avae vimini, skin jeans au mavazi ya kumdhalilisha la hasha ila kuna nguo nzuri nyingi tu za kiutu uzima ambazo mama yake anaweza kutinga kwa ufadhili na mkwanja wa mwanae hawezi kushindwa because diaomnd ana timu kubwa sana ambayo inamtegemwea anaoiita wasafi classic team wengine hawana kazi yoyote zaidi ya kuuza sura na kila siku wanaonekana kung`aa,nionavyo mtu anayepaswa kunga`aa kwanza ni mama yake alafui ndio wafuate wengine.

kilichonisukuma kuandika yote ni picha hiyo mdiamond na mama yake huko Nairobi yaani nahisi Diaomnd hakumtendea haki kumruhusu mama yake avae hivyo,

IMG_0090.JPG

kwa mkwanja wa diaomond mama yake anapswa kuvaa mapigo ya dizaini hii
View attachment 134500
kilemba na nguo zilizoenda shule sio kumvalisha ma tshirt za vijana za kawaida na na sandals za kawaida sana,let your maa be expensive,picha zaidi

IMG_0008.JPG

cc😡heaven on desert

Mkuu msg send & let it be received, cku zote wa mbili havai moja. UMEELEWEKA.
 
ndugu mndengereko nimeelewa point yako. ila pale sio kenya mzazi pale ni BONGO ukitaka kuhakikisha angalia magari ya upande wa bi mdash kuna moja lina mkanda wa green. taxi zetu za Dar hapa hapa ila asante. pamoja mkuu
 
nimekusoma sana mkuu nimeliona hilo baada ya kuwa nishapost alfu nashndwa kufanya editing title ya thread unless otherwise ningesharekebisha ila siwezi kuedit title,by the way thanks kwa kunielekeza kistaarabu maana kuna wengine wanatumia nguvu na lugha zisizo za kistaarabu
 
true. Hapo Mama hakutoka vizuri kutokana na heshima ya Mwanae.

Hivi mtaacha lini ujinga? Diamond ana heshima ipi nchi hii zaidi ya JK na Pinda? Mmeshawapna mama zao wanavyovaa? Yani bimkubwa mnataka avae kama Bongo movie?
 
Hivi mtaacha lini ujinga? Diamond ana heshima ipi nchi hii zaidi ya JK na Pinda? Mmeshawapna mama zao wanavyovaa? Yani bimkubwa mnataka avae kama Bongo movie?

Kwani wewe Matola, si pia unaheshima yako, vipi Diamond asiwe na Heshima yake.
 
Back
Top Bottom