Mama yake Diamond Arejeshwa toka India, Afya yake kwa sasa inatia Moyo

Daah nzuri hiyo japokuwa sijaelewa hapo Mama amepoozaje
 
Diamond usiwaige P-square.

Wale jamaa wanaweza wakawa na ushawish mkubwa wa kumuingiza mtu cha kike kisa tu nitoe na wew single! P-Square waliingizwa mkenge na akon na rick ross ili tu wamweke kwenye raman nzur ya mziki!
 
Aisee kweli mkuu dah na wale jamaa wanaanzaga na maza

Jamaa kama kashaingia nao maagano bora akatengue,ukishaanza ule mchezo hauachi utamaliza ukoo mzima.
 
Dah lakn si anaeza akaanza na dada yake labda queen Darleen au lazma iwe sequence ile ile kama wao
 
Back
Top Bottom