Mama yake Dogo Janja afunguka: Irene Uwoya alitambulishwa kwangu mwaka jana, ni kweli ameolewa na mwanangu

Mama yake Dogo Janja afunguka: Irene Uwoya alitambulishwa kwangu mwaka jana, ni kweli ameolewa na mwanangu

wamama wengine raha angekuwa mama diamond ,wema au kiba mapovu yangewatokaaa
 
Navaaa viatu mwanang anijie na mbibi kamzid miaka 5[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Bongo movie wamekuja kivingine baada ya soko la movie kubuma
 
Dogo anakula shombo za kina niyonzima,
walah pale pahala patam!
 
Sijafungua Video hiyo kutazama kilicho ongelewa, ila najiuliza mama zetu nao wanatumika siku hizi kubusti KIKI...!!
 
Back
Top Bottom