Mama yake Mzazi anasema kabisa "Bora angekufa huyu kuliko yule wa Ulaya aliyekuwa ananitunza"

Mama yake Mzazi anasema kabisa "Bora angekufa huyu kuliko yule wa Ulaya aliyekuwa ananitunza"

Dar As Salaam

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2025
Posts
293
Reaction score
528
Jamaa yangu anakaa Tandika ila home kwao ni Mbagala Kuu, alikuwa na brother yake anakaa Ulaya anapiga mishe huko baada ya kumaliza Masomo.

Sasa brother yake alikufa kwa ajali two weeks ago na yeye ndiye aliyekuwa anatuma pesa nyingi za matumizi hapo home kwao tofauti na mshkija wangu ambaye yeye ni Plumber (fundi bomba)

Sasa jamaa anasema wakati mama yake analia sebuleni akiwa na shoga zake waliokuja kumfariji alimsikika akiwa anasema "daaah imekufa nguzo yangu ya Ulaya iliyokuwa inanitunza, nitafanyaje mwenzenu. Si bora hata Mungu angemchukua huyu (akataja jina lake)

Daah, mwana anasema alienda kiwanja cha wazi maeneo ya jirani alilia nusu saa nzima. Mwana ana mke na mtoto mmoja, ila mishe zake za Plumbing hazimuingizii pesa kiviiiile.

Wazazi wa hovyo acheni hizo, watoto hawafanani..
 
Jitahidi uhame nyumbani kile kitendo cha kutokuonekana onekana hata kama kipato ni kidogo na hausaidii sana nyumbani inakujengea heshima flani hata kwa wadogo zako.

Ila wewe unaishi nyumbani bado umemzalisha mwanamke huko barabarani nae unamleta hapohapo nyumbani kwenu muishi nae hapo utaishia kuona wazazi wabaya
 
Jamaa yangu wa kitaa alikuwa na brother yake anakaa Ulaya anapiga mishe huko baada ya kumaliza Masomo.

Sasa brother yake alikufa kwa ajali two weeks ago na yeye ndiye aliyekuwa anatuma pesa nyingi za matumizi hapo home kwao tofauti na mshkija wangu ambaye yeye ni l Plumber (fundi bomba)

Sasa jamaa anasema wakati mama yake analia sebuleni akiwa na shoga zake waliokuja kumfariji alisikika akisema "daaah imekufa nguzo yangu ya Ulaya iliyokuwa inanitunza, nitafanyaje mwenzenu. Si bora hata Mungu angemchukua huyu (akataja jina lake)

Daah, mwana anasema aliingia chumbani alilia nusu saa nzima. Mwana ana mke na mtoto mmoja, ila mishe zake za Plumbing hazimuingizii pesa nyingi.

Wazazi wa hovyo acheni hizo, watoto hawafanani..
Shida ya mama hapo ni kusema tu, lkn hata wewe kama una watoto unajua huyu ni ni Bora auu anasaidia kuliko huyu, shida ni sauti imekuwa kubwaya kusikika, ewe fundi Bomba tulia usilie, piga mishe zako saidia unapoweza, kwani ni ya kawaida tu, nawe siku ukifa utakuwa jiwe kuliko wengine ambao hawana hata huo ufundi Bomba, ishi maisha Yako si LAZIMA ulingane na mwingine.
 
Mwambie jamaa asihuzunike aendelee kuishi na afurahie maisha sababu pengine yeye mambo yake yangekuwa safi mama yake angemfanya nguzo na tegemeo kwa hiyo angeanguka na kuondoka mapema.. Actually ma bibi wakubwa wasiojitambua wanazinguaga sana wakifika umri fulani.
 
Jamaa yangu wa kitaa alikuwa na brother yake anakaa Ulaya anapiga mishe huko baada ya kumaliza Masomo.

Sasa brother yake alikufa kwa ajali two weeks ago na yeye ndiye aliyekuwa anatuma pesa nyingi za matumizi hapo home kwao tofauti na mshkija wangu ambaye yeye ni l Plumber (fundi bomba)

Sasa jamaa anasema wakati mama yake analia sebuleni akiwa na shoga zake waliokuja kumfariji alisikika akisema "daaah imekufa nguzo yangu ya Ulaya iliyokuwa inanitunza, nitafanyaje mwenzenu. Si bora hata Mungu angemchukua huyu (akataja jina lake)

Daah, mwana anasema aliingia chumbani alilia nusu saa nzima. Mwana ana mke na mtoto mmoja, ila mishe zake za Plumbing hazimuingizii pesa kiviiiile.

Wazazi wa hovyo acheni hizo, watoto hawafanani..
Huyo mama atakuwa mchawi siyo bure.
 
Mungu amsamehe, na amrudishe kwenye imani thabit, kama anaamini

Hajui kuwa riziki inagawiwa na Muumba?
(Kwa wanaoamini )

Mwambie mwamba ajikaze na amuombe mama yake huruma nyingi kwani yeye sio mtoa Riziki
Amsaidie tu mama yake kwa chochote atachojaaliwa kupata

Kweli kuwa uyaone
Haya nimeyashuhudia sana kwenye umri wangu na hayahitaji papara na chuki bali kuomba sana

Wengi huwa wakifiwa na wafadhili huwa wanaomboleza hivyo na kufika mbali kwa kusema "Nani atatulisha"

Lakini huoni wakifa njaa
 
Jitahidi uhame nyumbani kile kitendo cha kutokuonekana onekana hata kama kipato ni kidogo na hausaidii sana nyumbani inakujengea heshima flani hata kwa wadogo zako.

Ila wewe unaishi nyumbani bado umemzalisha mwanamke huko barabarani nae unamleta hapohapo nyumbani kwenu muishi nae hapo utaishia kuona wazazi wabaya
Kwenu kukitokea msiba, wewe hauwezi kwenda??
 
Kitu Kama hiki kilitokea those years back nilisimuliwa.

Ajali ya MV Bukoba inatokea 1996, alikuwepo ndugu yetu, ambaye kwenye familia yeye ndie alikuwa amesoma, yaan alikuwa ndio anamaliza form six.

SASA katika waombolezaji, mmoja akawa anasema Bora angekufa mwingine lakini sio huyu ambaye nyota yake ilikuwa inang'aaa yaan she was the only remained hope to the family.

Watu walimjia juu saana,

Aliwakwaza watu saaana, ila tufaham kuwa MTU akiwa kwenye majonzi na huzuni anaweza sema lolote, kutokana na uchungu,

Chamsingi wamsamehe tuu, na kumuombea heri, mama ana uchungu, sio yeye ni uchungu na huzuni...
 
Back
Top Bottom