Mama yake Wema Sepetu unajishushia heshima

Mkuu wewe ndio Man Fongo??? Maana si kwa kupanic hiko....
 
Huyo mama alienda pia kwenye kigoma cha Wema alichokifanyia sijui ndo Escape 1 pale.

Tena akapanda hadi kwenye jukwaa.

Akawa anajitikisa tikisa kama wale wadada wengine walivyokuwa wanafanya.

Hajielewi huyo mwanamke.
Tz baby Tz baby [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…