Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
M pia nilishangaa sana
Huy mama anafanana na mtoto wake tabia
Nadhani mtoto ndo anafanana tabia na mama yake...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
M pia nilishangaa sana
Huy mama anafanana na mtoto wake tabia
KabisaaaaaNadhani mtoto ndo anafanana tabia na mama yake...
Inaonekana enzi za ujana wake alikua hashikikiNadhani mtoto ndo anafanana tabia na mama yake...
Mkuu wewe ndio Man Fongo??? Maana si kwa kupanic hiko....Leo mama wema nimekushusha huku mtaani kwetu tunasema nimekushusha vyeo yaani heshima nimesikiliza mahojiano yako na Soudy Brown wa Clouds fm muda huu nimeshangaa unavyopayuka kuhusu ugomvi wa mwanao na Man Fongo hata haingii akilini kwa kuchukua maneno ya kuambiwa ndo kuwa source yako kubwa kuamini na kuongea maneno ambayo hata mwanao angeongea ningemdharau ila umekuja kuongea wewe naona bado ujauzoea umaarufu we ni mtu mzima unatakiwa ujiepushe na mambo hayo ya kitoto mana hata mwanao ni binadamu na anakosea sijapenda kabisa
Upo kama mm kuna mda uwa nawazaga hivo nikionaga vituko vya baadhi ya wamamaKuna muda huaga silaumu sana mzazi wangu kuondoka mapema duniani
Kuwa na mama kama huyo ni hasara tupu
Haina shaka kabisa kuwa huyu mama ujana wake ulikuwa kama tunavyomuona Wema kwa sasa.
ni mtihani sana basi tuu!!Upo kama mm kuna mda uwa nawazaga hivo nikionaga vituko vya baadhi ya wamama
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni vigumu Mbuzi kuzaa kondoo.
Mitandao ilikuwa bado, otherwise angevuma tu kama Wema.Mi huwa nahisi huyu mama enzi zake alikuwa ndo gigy money, sema alikosa publicity tuu
HahahaMitandao ilikuwa bado, otherwise angevuma tu kama Wema.
Lemutuzzz hapitwi .[emoji28][emoji28][emoji28] Mama wa digital hao
Tz baby Tz baby [emoji12] [emoji12] [emoji12]Huyo mama alienda pia kwenye kigoma cha Wema alichokifanyia sijui ndo Escape 1 pale.
Tena akapanda hadi kwenye jukwaa.
Akawa anajitikisa tikisa kama wale wadada wengine walivyokuwa wanafanya.
Hajielewi huyo mwanamke.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125]Mkuu wewe ndio Man Fongo??? Maana si kwa kupanic hiko....
The Momma's attitude is a reflection on her daughter's character to say the least
Chief, are you saying that "Like mom like daughter?"