Mama yake Wema Sepetu unajishushia heshima

Huyo mama alienda pia kwenye kigoma cha Wema alichokifanyia sijui ndo Escape 1 pale.

Tena akapanda hadi kwenye jukwaa.

Akawa anajitikisa tikisa kama wale wadada wengine walivyokuwa wanafanya.

Hajielewi huyo mwanamke.
Itakua anakunywa pombe alaf zinaruka" smh
 
Huyo mama alienda pia kwenye kigoma cha Wema alichokifanyia sijui ndo Escape 1 pale.

Tena akapanda hadi kwenye jukwaa.

Akawa anajitikisa tikisa kama wale wadada wengine walivyokuwa wanafanya.

Hajielewi huyo mwanamke.
mkuu kwa level zake anaona anajielewa!

Einstein aliwahi kusema... 'the hardest thing in this world is thinking, thats why few people practice it'..
 
Huyu Mama kuna angle nilikutana nae!!Doooo aasalaleheeeee!!!Nikajisemea "Mkristo kaza moyo,kituo cha Tisa,Msalaba wamlemea mwokozi"
Yaani akionja bia kadhaa basi zinahama toka kichwani kuja kwingine....Tatizo ukiungalia uso na makunyanzi Abdalah anasinzia,lkn ukijivika kininja ukawa unapapasa tu kizani....Mbona Swalaah swalaaah hii hapa mtu bado unatupia tu.

Huyu Mama enzi zake,Wazee wetu watakuwa walicheza sana "Off side" trick...Sema ndio hivyo mafb na mainsta hayakuwepo
 
Huna namba yake????
 
Huyo mama alienda pia kwenye kigoma cha Wema alichokifanyia sijui ndo Escape 1 pale.

Tena akapanda hadi kwenye jukwaa.

Akawa anajitikisa tikisa kama wale wadada wengine walivyokuwa wanafanya.

Hajielewi huyo mwanamke.
Mzee kashatangulia mbele za haki hvyo kabaki anaongozwa na watoto,sasa hv utasikia naye kapata mpenzi pale Wasafi clinic
 
Mwenye akili ndogo ni rahisi kumpandishia heshima, siku ikikua ni rahisi Vile vile kumshushia heshima
Hivyo kabla hujamshangaa tayari umesha shangaza
 
Hivi huyu mama Wema siyo Mfia dini kumbe?? I thought was!!!!
 
Teh teh nawe ungebambia uuze sura Risasi, Uwazi, Ijumaa, Ijumaa weekend
 
Mi huwa nahisi huyu mama enzi zake alikuwa ndo gigy money, sema alikosa publicity tuu

Hahaaaaaa aiseee eti gigy money huu nio ule utani wa mangumi😑 kwakwel mimi ndio angekua mama yangu sijui ningeficha wap uso wangu. Ila ndo mzazi sasa
 
Hahaaaaaa aiseee eti gigy money huu nio ule utani wa mangumi😑 kwakwel mimi ndio angekua mama yangu sijui ningeficha wap uso wangu. Ila ndo mzazi sasa
Hahah usinge hangaika kwababu na wewe ungekuwa kama yeye pia.
Si unaona mwenzio wema ndo kwanza ana mfurahia
 
Nyani Ngabu ulilipa kauchakavu ama ulipewa complimentary
 
bi mkubwa kajichanganya
hana jinsi hana kichwa cha familia mwanaume
 
Ahahaaaa hapana ncngekua na akili km za wema. Ningekua km dada zake wema.
Hahaha
Kumbe ana dada zake!! Sikujua hilo, basi kweli ungekuwa kama hao! Ila si ndo unaona anaye oata upendo wa mama ni mwnyewe wanaye fanana sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…