Ngwasa Omuyaya
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 2,629
- 2,733
Muulizeni Steve Nyerere.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakua anakunywa pombe alaf zinaruka" smhHuyo mama alienda pia kwenye kigoma cha Wema alichokifanyia sijui ndo Escape 1 pale.
Tena akapanda hadi kwenye jukwaa.
Akawa anajitikisa tikisa kama wale wadada wengine walivyokuwa wanafanya.
Hajielewi huyo mwanamke.
mkuu kwa level zake anaona anajielewa!Huyo mama alienda pia kwenye kigoma cha Wema alichokifanyia sijui ndo Escape 1 pale.
Tena akapanda hadi kwenye jukwaa.
Akawa anajitikisa tikisa kama wale wadada wengine walivyokuwa wanafanya.
Hajielewi huyo mwanamke.
Huna namba yake????Leo mama wema nimekushusha huku mtaani kwetu tunasema nimekushusha vyeo yaani heshima nimesikiliza mahojiano yako na Soudy Brown wa Clouds fm muda huu nimeshangaa unavyopayuka kuhusu ugomvi wa mwanao na Man Fongo hata haingii akilini kwa kuchukua maneno ya kuambiwa ndo kuwa source yako kubwa kuamini na kuongea maneno ambayo hata mwanao angeongea ningemdharau ila umekuja kuongea wewe naona bado ujauzoea umaarufu we ni mtu mzima unatakiwa ujiepushe na mambo hayo ya kitoto mana hata mwanao ni binadamu na anakosea sijapenda kabisa
Mzee kashatangulia mbele za haki hvyo kabaki anaongozwa na watoto,sasa hv utasikia naye kapata mpenzi pale Wasafi clinicHuyo mama alienda pia kwenye kigoma cha Wema alichokifanyia sijui ndo Escape 1 pale.
Tena akapanda hadi kwenye jukwaa.
Akawa anajitikisa tikisa kama wale wadada wengine walivyokuwa wanafanya.
Hajielewi huyo mwanamke.
Huyu Mama kuna angle nilikutana nae!!Doooo aasalaleheeeee!!!Nikajisemea "Mkristo kaza moyo,kituo cha Tisa,Msalaba wamlemea mwokozi"
Yaani akionja bia kadhaa basi zinahama toka kichwani kuja kwingine....Tatizo ukiungalia uso na makunyanzi Abdalah anasinzia,lkn ukijivika kininja ukawa unapapasa tu kizani....Mbona Swalaah swalaaah hii hapa mtu bado unatupia tu.
Huyu Mama enzi zake,Wazee wetu watakuwa walicheza sana "Off side" trick...Sema ndio hivyo mafb na mainsta hayakuwepo
Mi huwa nahisi huyu mama enzi zake alikuwa ndo gigy money, sema alikosa publicity tuu
Hahah usinge hangaika kwababu na wewe ungekuwa kama yeye pia.Hahaaaaaa aiseee eti gigy money huu nio ule utani wa mangumi😡 kwakwel mimi ndio angekua mama yangu sijui ningeficha wap uso wangu. Ila ndo mzazi sasa
Hahah usinge hangaika kwababu na wewe ungekuwa kama yeye pia.
Si unaona mwenzio wema ndo kwanza ana mfurahia
Hapana, mimi simchukii Wema wala mama yake.
Siwezi kuwachukia kwa sababu siwajui na wao hawanijui na hawajawahi kunikosea chochote.
Huwa nazishangaa tu tabia zao.
Sasa bila video watu mnaweza kudhani labda nawaonea.
Hebu jionee mwenye walipokuwa kwenye kigoma chao hapo Escape 1.
Mama mzima anaenda kwenye kigoma sijui cha Urugwai au sijui cha Paragwai😀.
Hapo chini ona walivyokuwa wanaingia ukumbini...
Hapana, mimi simchukii Wema wala mama yake.
Siwezi kuwachukia kwa sababu siwajui na wao hawanijui na hawajawahi kunikosea chochote.
Huwa nazishangaa tu tabia zao.
Sasa bila video watu mnaweza kudhani labda nawaonea.
Hebu jionee mwenye walipokuwa kwenye kigoma chao hapo Escape 1.
Mama mzima anaenda kwenye kigoma sijui cha Urugwai au sijui cha Paragwai😀.
Hapo chini ona walivyokuwa wanaingia ukumbini...
HahahaAhahaaaa hapana ncngekua na akili km za wema. Ningekua km dada zake wema.
ng'ombe hazeeki mainiInaonekana enzi za ujana wake alikua hashikiki