Mama yake Wema Sepetu unajishushia heshima

Hapo sinza vijana watakua wanapakua tu jimama hilo dah.
 
Hahaaa huyo mama anatafunika tu kuna wazee zaidi yke watu wanatafuna 2.ila utu uzima ni dawa maza mshipa wa aibu hana
 
Huyo mama alienda pia kwenye kigoma cha Wema alichokifanyia sijui ndo Escape 1 pale.

Tena akapanda hadi kwenye jukwaa.

Akawa anajitikisa tikisa kama wale wadada wengine walivyokuwa wanafanya.

Hajielewi huyo mwanamke.
Kavideo kidogo tuone
 
wanamsema mama diamond mswahili ila kwa huyu mama haoni ndani. aakkuuu mama ana mambo ya kuabisha kaa si mtu mzima.
 
huyu mama kuna kituko alifanya kwenye event moja night kisa mambo haya haya ya binti yake yaani ni aibu.

ukishajijua wewe ni mtu mzima inabidi uishi kiutu uzima
wengine utu uzima ni umri tu ila sio matendo..kama huyu mama.. hahaha
 
Mleta maada pamoja na mama wema wote mko sawa tu...maada yako haileweki kama mama wema asivyoeleweka....kama unabisha kuwa hueleweki basi thibitisha.
 
Huyo mama alienda pia kwenye kigoma cha Wema alichokifanyia sijui ndo Escape 1 pale.

Tena akapanda hadi kwenye jukwaa.

Akawa anajitikisa tikisa kama wale wadada wengine walivyokuwa wanafanya.

Hajielewi huyo mwanamke.
hovyo hovyo kabisa.. unaanzaje bibi umri ule unakata viuno na mwanao jukwaa moja!? what a shame!!?
 
bi mkubwa kajichanganya
hana jinsi hana kichwa cha familia mwanaume
sorry to say this.. baadhi ya wajane wamama watu wazima (walioachika/waliofiwa waume) huwa tabia zao za ajabu kabisa.. kama sio uhasidi na uchonganishi basi tabia kama za mama wema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…