Mama yake Wema Sepetu unajishushia heshima

Leo mama wema nimekushusha huku mtaani kwetu tunasema nimekushusha vyeo yaani heshima nimesikiliza mahojiano yako na Soudy Brown wa Clouds fm muda huu nimeshangaa unavyopayuka kuhusu ugomvi wa mwanao na Man Fongo hata haingii akilini kwa kuchukua maneno ya kuambiwa ndo kuwa source yako kubwa kuamini na kuongea maneno ambayo hata mwanao angeongea ningemdharau ila umekuja kuongea wewe naona bado ujauzoea umaarufu we ni mtu mzima unatakiwa ujiepushe na mambo hayo ya kitoto mana hata mwanao ni binadamu na anakosea sijapenda kabisa
Kwani anayo hiyo hishma tangu lini
 
Tabia ni ngozi mimi bibi yangu mzaa baba anamiaka 70s ila izi bongofleva anavyoimba tena mpya mpya yaaani ki ufupi ni mama wema type so hao watu wapo.
 
Duh! Halafu mtoto anabinua chura mbele ya mama yake.... Noma sana
 
huyu mama kuna kituko alifanya kwenye event moja night kisa mambo haya haya ya binti yake yaani ni aibu.

ukishajijua wewe ni mtu mzima inabidi uishi kiutu uzima

Alifanyaje?
 
Uhuni wa mwanae kubadili wanaume hapa mjini unampa faida na kwikwi na yeye ndio tabia za wamama wa Instagram hizo.
 
Leo mama wema nimekushusha huku mtaani kwetu tunasema nimekushusha vyeo yaani heshima nimesikiliza mahojiano yako na Soudy Brown wa Clouds fm muda huu nimeshangaa unavyopayuka kuhusu ugomvi wa mwanao na Man Fongo hata haingii akilini kwa kuchukua maneno ya kuambiwa ndo kuwa source yako kubwa kuamini na kuongea maneno ambayo hata mwanao angeongea ningemdharau ila umekuja kuongea wewe naona bado ujauzoea umaarufu we ni mtu mzima unatakiwa ujiepushe na mambo hayo ya kitoto mana hata mwanao ni binadamu na anakosea sijapenda kabisa

kunya boga
 
Back
Top Bottom