Mama yangu anasumbuliwa na tatizo la kizazi, mwenye ujuzi anisaidie plz

Tatemahunda

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
232
Reaction score
91
wakuu salaam
mm ni mtanzani niishiye tanga. mama yangu anaishi korogwe ila anasumbuliwa na maumivu makali kwenye mfuko wa uzazi na mwezi machi alienda kuchekiwa katika hospitali ya Lugaro dar, na picha ilionyesha Kua Ana chembechembe kwenye mfuko wa kizazi akaandikiwa dawa ..hali ikawa nzuri kidogo, ila sasa hali imerudi kama mwanzo... nikaamua nimwite tanga... ila cjui ni hospitali gani atapata huduma nzuri kwa apa tanga... mwenye ujuzi anijuze tafadhali.... natanguliza heshima kwenu....
 
Kwanini usifanye mpango wa kumrudisha Lugalo alipopatiwa matibabu mara ya kwanza? Nadhani akionana na daktari aliyemtibu mwanzo atakuwa na nafasi ya kupata tiba nzuri maana historia ya ugonjwa wake na alivyotibiwa atakuwa anajua huyo daktari wa mwanzo
 
nikweli mkuu.. ila kilichonifanya kuamua aje tanga ni kwasababu pale lugalo hua wakikupiga picha wanaipeleka muhimbili, sasa nahofia kua yawezekana akifika tena itakua kama anaanza upya mana ni lazima picha ikasomewe muhimbili.. ila anyway. ngoja nifikirie upya tena...nashkul kwa ushauri mkuu...
 
ukiwa dar nitafute kupitia 0759077008 ili tumsaidie mamaetu
 
Back
Top Bottom