Tatemahunda
JF-Expert Member
- Sep 14, 2013
- 232
- 91
wakuu salaam
mm ni mtanzani niishiye tanga. mama yangu anaishi korogwe ila anasumbuliwa na maumivu makali kwenye mfuko wa uzazi na mwezi machi alienda kuchekiwa katika hospitali ya Lugaro dar, na picha ilionyesha Kua Ana chembechembe kwenye mfuko wa kizazi akaandikiwa dawa ..hali ikawa nzuri kidogo, ila sasa hali imerudi kama mwanzo... nikaamua nimwite tanga... ila cjui ni hospitali gani atapata huduma nzuri kwa apa tanga... mwenye ujuzi anijuze tafadhali.... natanguliza heshima kwenu....