Tatemahunda
JF-Expert Member
- Sep 14, 2013
- 232
- 91
Kwanini usifanye mpango wa kumrudisha Lugalo alipopatiwa matibabu mara ya kwanza? Nadhani akionana na daktari aliyemtibu mwanzo atakuwa na nafasi ya kupata tiba nzuri maana historia ya ugonjwa wake na alivyotibiwa atakuwa anajua huyo daktari wa mwanzo
ukiwa dar nitafute kupitia 0759077008 ili tumsaidie mamaetunikweli mkuu.. ila kilichonifanya kuamua aje tanga ni kwasababu pale lugalo hua wakikupiga picha wanaipeleka muhimbili, sasa nahofia kua yawezekana akifika tena itakua kama anaanza upya mana ni lazima picha ikasomewe muhimbili.. ila anyway. ngoja nifikirie upya tena...nashkul kwa ushauri mkuu...
ukiwa dar nitafute kupitia 0759077008 ili tumsaidie mamaetu