Mama yetu anafeli wapi??

Mama yetu anafeli wapi??

Joined
Jul 20, 2024
Posts
42
Reaction score
98
Habari zenu members of jamiiforums,Mimi pia ni buheri wa afya,nimeandika uzi huu mahsusi kabsa kwa minajili ya kudurusu mfumo wa uongozi wa serikali yetu.

Ingawa watu wanasema mama ana upiga mwingi lakini Kuna pahala katika uongozi wake panavuja.Tunaweza chunguza namna mama anavyoliongoza taifa kana kwamba watanzia tulio wengi tumefunikwa na giza nene.

nisiwe na maneno mengi lakini nataka niende kwa fact.mfano viongozi anaowaweka Kama wasaidizi wake hawana weredi na nidhamu ya kazi zao,aghalabu scandals chafu za viongozi wakuu wa wizara n.k.mfano rahisi ni yule aliyekuwa naibu waziri mhe.Pauline Gekur na sakata lake lile chafu la kuamuru vijana waingizwe chupa katika sehemu za haja kubwa.moja kwa moja siafiki Kama ni kweli ama laaah lakini kiongozi mkubwa wa wizara unawezaje kuwa na scandal chafu Kama hizo,haitoshi basi tuseme ni bahati mbaya,mkuu wa mkoa wa simiyu nae na scandal chafu ya kumlawiti mwanafunzi wa chuo,siwezi kusema moja kwa moja lakini ni kwanini serikalii??.

Yani ukija kuchunguza kiundani ni kwamba either mama hayuko makini au Kuna mianya sehemu za juu.ivi kwanini tusijiulize matukio ya utekaji yamezidi??,mara kagera albino kauwawa,mara huku Fulani kachinjwq,mara Fulani amepotea,mara huku Fulani amelawitiwa? Ni kwanini matukio yanazidi na Ilihali tunaambiwa nchii ina amani.

mama sipo kwaajili ya kukosoa isipokuwa madhaifu yamezidi Sana serikalini mwako,tukikumbuka lile suala la Rais kumteua mkurugenzi ambae alishakwisha fariki takribani wiki moja ilo pita.

je ni kweli kwamba Rais anaongozwa na wahuni wachache ambapo kazi yake yeye ni kuwaapisha tu hata Kama no perfect under the sun but it's too much.mama anasikia report ya CAG anavunga kwanini???

Ifike mahali tukuombe mama uvae kiatu cha mtangulizi wakooo? Uwe mkali na katili ili siku moja watanzanie wakupongeze kutoka moyoni kwani waliowengi Wana kupromote ili kujipatia ulaji.mama isipokuwa makini watanzania tutakushangaza 25.ninayo mengi ya kusema ila kwa leo naomba niishie hapa.📝📝📝📝 #The doctor of philosophy- BGG makaveli
Tanzania first 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Tatizo mnakuza mno! Tunaishi Duniani ambapo sio Paradiso. Utafanya kazi na nani kama sio watu?

Huyo Raisi mwenyewe ni mtu tu sio Mungu wala si mtume wala si malaika.

Kukosea kupo tu katika kila awamu.

Hata hivyo kusema kaumbiwa mwanadamu ,midomo mali zetu na tuseme
 
Mama hatoshi anapwaya sana.nchi imeyumba sana kila sekta.anapambana na chadema huku nch inatafunwa na wahuni
 
Alifeli siku ya Kwanza ,ilitakiwa AVUNJE BARAZA LA MAWAZIRI period
 
Back
Top Bottom