Invisible na wengineo,
Hivi mpaka habari kama hizi zimguse REGINALD MENGI, MWAKYEMBE, MAMA KILANGO ama MESIHA wenu wengine ndio itapelekwa kwenye CELEBRITIES ama UDAKU?
Niliweka thread ya MENGI, Sakina na maslahi ya Waisrael hapa haikuchukua dakika saba ikahamishwa kwenye CELEBRITIES even though it was definitely political issue, nilinyamza nikujua ni masuala ya uelewa tu. But here pure udaku and personality matter ipo kwa siku nne sasa inadunda....
Hivi mnadhani walio madarakani waliamka tu na kujikuta wanakosa credibility kama ilivyo sasa kiasi cha kushindwa hata kukemea yanayoendelea na kuamu kuyatumia kwa faida yao bila ya kujali mbegu za janga la chuki na uadui wanazopanda?
Kesho tutaanza kujidangany eti sisi ni vijana ndio tutakaokuwa salama ya nchi hii...hatua milioni zilianza na hatua moja...
omarilyas