Mama zetu huu ni ushauri wa bure kwenu, ni vyema kuuzingatia

Mama zetu huu ni ushauri wa bure kwenu, ni vyema kuuzingatia

Mbomozo

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2019
Posts
365
Reaction score
966
Habari za mida hii ndg wanaJF.....

Naandika uzi huu kwa uchungu kiasi maake Dada zetu wanaliwa kihasara na mchango mkubwa ni mama zao.
Kivipi?

Waliosema muache mtoto atafute mchumba wa kumuoa na ampendaye hawakukosea... Unakuta mama mzazi Wa binti anazunguka kumtafutia mwanaume binti ili ampose hata kumuoa lakini wanasahau kuwa vijana wa siku wako tofauti kabisa na way back either

1. Ana mchumba wake toka zamani

2. Hana mpango Wa kuoa kwa muda Huo

3. Ni mzurulaji, mpitia mitaro na ni maarufu Muembe Samaki hana mpango wa kuvuta jiko abadan.....Nk

Now what happens pale unamuambia kwa mfano kijana....Unajua Zuena yupo? Unakuja lini kumuona? Mara anakusalimia sana au anakuambia direct unajua ww unamfaa binti yangu.

Kinachofuatia ni mbususu ya mwanao kuliwa tena vyepesi bila single verse yaani mtelezo zaidi ya Kumla kimasihara maake lazima mama mkwe wako wa kulazimisha atampanga unajua yule kijana anaekuja hapa anakupenda na amesema atakuoa Mmmmh Bi mdash mambo hayaendi ivyo Laana za bure sio lazima tuzichume

My take riziki ya mtu huipanga muumba wa ardhi na mbingu muombee sana binti yako apate mtu sahihi kwake na amuoe KAMWE usilazimishe mtoto kuolewa kwasababu za tamaa ya pesa au hata sifa mtaani kwenu kwamba kila siku unahudhuria harusi za watoto wa wenzako na wewe unataka ulazimishe kufanya shughuli.

Alamsik.
 
Km mama anakutongozea binti yk shdaa iko wapi ww ukilaa mbususu nakusepa zako kuendeleaa na mtu wako wa malengo uliyenayee mkuu.mama kakuelewa yy semaa ameshindwa kukutunuku ameamua akutunuku binti yk
 
Maadili nilikulia na moyo wangu unanisuta kufanya hayo mambo ndg yangy
Km mama anakutongozea binti yk shdaa iko wapi ww ukilaa mbususu nakusepa zako kuendeleaa na mtu wako wa malengo uliyenayee mkuu.mama kakuelewa yy semaa ameshindwa kukutunuku ameamua akutunuku binti yk
 
Back
Top Bottom