mama zetu vijijini!kiboko

mama zetu vijijini!kiboko

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
http://3.bp.blogspot.com/_Uf3wKuI_75k/SE6kt0B7ahI/AAAAAAAAAhA/L38_AHtYn2w/s1600-h/Mama.bmpMama akitumia nguvu zake zote kujitwisha mzigo mkubwa wa kuni katika kijiji kimoja mkoani Tanga ambako nishati pekee ya nyumbani inatoka na mazao ya misitu.
Mama.bmp
 
na walivyopandisha bei ya mafuta ya taa nadhani misitu itaisha kwa mkaa na kuni
 
We acha
naona hela za dharura za kununua mita ipandwe ziko njiani watu washibe
 
Back
Top Bottom