Mama'ake anapodandia bili ya mwanawe!

Hahahahahahha Kigarama

Niliwahi kuanzisha thread kuhusiana na wazazi wenza, nilikua upande wa wanaume na lengo kuu lilikuwa kuwaambia wasikubali kutumiwa/endeshwa na wazazi wenza. Ila kwenye hili siwezi nikamtetea Ruta maana bado sijajua huyo dada yey anachangia kwa kiasi gani, kiasi gani kwenye anachotoa Ruta kinamfikia mtoto na kadhalika. Hivyo naassume kwamba maisha yao(mtoto na mama) ni ya hali ya juu hivyo anachotoa ni sahihi.
 
Last edited by a moderator:
[QUOTE
Anecdote:
Kuna jamaa alilazimishwa kumlipia mtoto hadi atakapotimia miaka 18.
Siku ya malipo ya mwisho, alimkabidhi "bintiye" kimemo akampe mama yake.
"Hatimaye, haya ni malipo ya mwisho," kimemo kilisema.
Mama akamrejeshea kimemo pia, "Nakushukuru, kwani huyu mtoto hata si wako".

Ruta, chunga sana.[/QUOTE]

Lol, hiya kali
 
Ndio analipia na shelter. . .wengine kama sio watoto wangebanana na ndugu/marafiki.

Kama analipiwa na shelter basi huyo mama ni mkorofi. Halafu yeye anacontribute kiasi gani? Still hii case haiwezi kumalizwa kwa mapatano ya kisheria not necessarily mahakamani?
 



uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii inaumaje jamani???? pole sana!
 
Lizy kwenye hili jambo wewe umeonyesha kutokuelewa hoja ya Rutashubanyuma. Rutashubanyuma yeye tatizo lake ni kwamba hela zote hizo anazotoa anadhani zinatosha lakini kutokana na huyo mzazi mwenzake kuwa na mtoto mwingine ambaye si wake na kuishi na "boy friend" wake, Ruta anahisi fedha hazitoshi kwa sababu matumizi yake si ya mtoto wake peke yake bali zinatumika kutunza Boy Friend, mtoto wa kambo na mama mwenyewe.
 
cacico.....mambo magumu kwani idara ya ustawi wa jamii sijui kawapa nini......wanadai anayo khaki ya kukaa na mtoto hadi afikishe miaka saba..........
kwani kwa sasa ana miaka mingapi??? akifika umri wa kuanza nursery skul, unaweza kufanya yafuatayo, ada ya shule lipa mwenyewe shuleni mama mtu atafuata receipt tu, mkatie card ya bima mwanao incase ya ugonjwa, mwambie mama yake asiworry about clothes and shoes u will provide kama vitu n not kama pesa, then kadiria mtoto wako kwa mwezi anaweza kuwa anakula maya 5kgs za mchele, unga the sama, nunua kuku wa2 na nyama kilo 2, nyanya kilo 2, vitunguu na everything kg moja, moja,. yaani mwenzi ndivyo nifanyavyo kwa mtoto wa kakangu, my brother yupo chicago long tym, kaacha mtoto bby gal kwa mama yake, mama yake aliambiwa anipe mtoto akakataa, so my brother anatruma pesa kwangu, mara moja moja during her birthdays, but hizi cku nyingine, this is what i normaly do. HATUMPI PESA KABISAAAAAAAAAAAA!
 
We Mhaya nakusikitikia sana, mwanamke sio mashine ya kuzalisha vitu. Ni kiumbe hai (mwanadamu) na anayestahili heshima yake. Wewe hukulalamika wakati unafanya nae mapenzi mpaka akakuzalia. Ukawa unamhonga anakupa yote, ukaona umpe tunda bora la kibinadamu (mtoto). Mtoto ni part and parcel ya mama yake, huwezi kulea mtoto bila kumlea mama yake. Ni ujuha na upunguani. Wakati wa kula mavituz ulikuwa unatoa pesa tena kwa raha kabisa za kumtunza huyohuyo mwanake. Leo umemzalisha hafai. Wacha hiyo na wengine wote wenye tabia hiyo nawataka waache kabisa kutenganisha malezi ya mtoto na mama yake. Kumbuka kwenye duru za kiafya kuna MCH (Mother and Child Health), iwe wewe!!!!!!!!
 
Akiugua kadi ya bima inampeleka hospitali, risiti ya shule inampandisha daladala au gari la shule, akiwa na njaa anajilisha mwenyewe, nguo zikichafuka zinajifua zenyewe, ankiwa na njaa mchele, unga, mayai, n.k. ulivyopeleka vinajipika vyenyewe. Kwani Kutompa pesa ndio mnaona manafaidi sana? Mtoto akikuwa atasimuliwa na mama yake. ATAWACHUKIA TU.
 
Kama analipiwa na shelter basi huyo mama ni mkorofi. Halafu yeye anacontribute kiasi gani? Still hii case haiwezi kumalizwa kwa mapatano ya kisheria not necessarily mahakamani?
Hahaahahaha mwacheni jamani mbona yeye alibeba mimba bila msaada?

Well, hapo ndo tatizo lilipo sasa, hatujui lolote la upande wa pili zaidi ya tunayoambiwa hapa.
 

Kigarama kama ukisoma post yangu ya pili sijui ya tatu utajua kwamba hamna nilichokosa kuelewa. Binafsi najua gharama za kulea hivyo naongea from experience na sio nabuni na kuhisi kama afanyavyo Ruta. Kama anataka uhakika wa matumizi ya pesa yake awe ananunua vitu mwenyewe. . .
 
Last edited by a moderator:
Huyo mama kwa maelezo ya Ruta ana hela na siyo vitu. Lizy ni lini umeona kesi ya matunzo ya mtoto ikahusisha vitu badala ya fedha? Hapo ndiyo Concern yetu wanaume inapokuja hasa ukigundua pale unapopeleka hela kuna dume mwenzio anakula na kufaidi jasho lako.
 
Last edited by a moderator:

Kigarama sijui hujanielewa. . . .
Nimemaanisha kuwa awe ananunua vitu vya mtoto badala ya kupeleka cash ili awe na uhakika sio pesa yake inayotumika kunywea bia, kulipa kodi, kumnunulia huyo mtoto mwingine nguo n.k
 
Last edited by a moderator:
Nadhani hii itawasaidia wale ambao wanataka kujaribu kuhit na ku-run. Kuna watu wengine wanabahatisha na kuishi na kulea bila complications kubwa, ila majority ya mahusiano ya nje ya ndoa ni kero na challenge baadae, hasa kama kuna watoto.
Trust me young people. try to avoid unnecessary sex. Especially without protection. You will live to regret, (if you are lucky to live)

Kuna rafiki yangu mmoja nae alidai wameelewana na mdada kuhusu malezi, lakini kila anapopewa cash ya mtoto, au schoolfees ect, anakula nusu, mtoto anamtafutia shule ingine ya bei poa, mtoto hadi sasa amehama shule 5 za msingi!! English na kiwahili mchanganyiko.
Iliishia kuwa yule kaka alikuwa anatukanwa kila anapopata girlfriend, alikimbiwa na wasichana wawili! mmoja ndio kiboko alishinda frustrations hadi leo, ila ni patashika, wewe bado hujaona woman scorned!
 
rutashubanyuma,pole kwa mkasa huo ila kulea mtoto ni kazi c ndogo jaman kama alivyosema lizzy.pili cjakuelewa uliposema mzazi mwenzio alisema kama vipi ahamie kwako we ukasema hutaki...qn je alitaka kuhamia kwako naboyfriend wake ama vip?..and so punguza ka mchezo kako ka kucheza bila kinga then unakimbi matokeo yake.cio fair.
 

Lizzy mzazi mwenzangu mchango wake ni nguvu kazi ya malezi hata sumuni hatoi.....................na kinachouma zaidi kuona ana dume na halifanyi kazi na ndili linampampu awe mbogo wa michuzi yangu ili waitafune pamoja............the situation is very complicated..........
 
Last edited by a moderator:

JOJEETA mtoto alipangwa kwa hiyo siyo ajali.....tuliamua sote na kabla ya huyo bwana wake hajatokea kumvuruga alikuwa hana sooooooooooo....kinga ni kama huhitaji mtoto lakini mie nilimhitaji na kumgharimia wa kwangu sina shida lakini msingi wa Tshs2.1 m kwa mwezi siuoni zaidi ya kutaka kunikomoa tu..............am I angry........u can say that again
 
Last edited by a moderator:
Ruta umekuwa mshairi siku hizi?
Usipokuwa na mwiko, utakula mama na mtoto!

Okada mipaka ipo lakini huyu nikamia tuzae naye..............iko noma.......mie na mtoto wapi na wapi?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…