Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Hahahahahahha Kigarama
Niliwahi kuanzisha thread kuhusiana na wazazi wenza, nilikua upande wa wanaume na lengo kuu lilikuwa kuwaambia wasikubali kutumiwa/endeshwa na wazazi wenza. Ila kwenye hili siwezi nikamtetea Ruta maana bado sijajua huyo dada yey anachangia kwa kiasi gani, kiasi gani kwenye anachotoa Ruta kinamfikia mtoto na kadhalika. Hivyo naassume kwamba maisha yao(mtoto na mama) ni ya hali ya juu hivyo anachotoa ni sahihi.

Last edited by a moderator: