Mamake mwigizaji Rambo, ana miaka 92 lakini bado kijana

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Mamake mwigizaji wa Hollywood Sylvester Stallone anayejulikana kwa jina Jackie Stallone ni mama mzee mwenye umri wa miaka 92 lakini bado ni mtu mwenye nguvu na anaijulia sana mitindo ya kuvalia nguo.

Jackie ambaye anafanya kazi ya kutabiria nyota za watu alionekana akitembea kando na kilabu cha densi Santa Monica akiwa amevalia blause ya rangi ya kupakwa vifungo ya waridi, jeans ya rangi nyeusi na viatu vya spoti vyenye mchanganyiko wa rangi ya hudhurungi na nyeupe.

Tukio hili alinaswa na mapaparazzi siku ya Jumatano.
 
Ha ha ha ha na kwenda kuanikwa juani na wajukuu kama mbilimbi...

Hahaha acha bibi zetu waote jua bana. Daah ila kufikisha umri kama hawa bibi zetu ni jambo la kumshukuru sana Mungu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Ha ha ha 50 yenyewe shughuli na magonjwa yote haya,,,maana magonjwa mapya yote yana anzia kwetu like Dengue
 
Mamake mwigizaji wa Hollywood Sylvester Stallone anayejulikana kwa jina Jackie Stallone ni mama mzee mwenye umri wa miaka 92 lakini bado ni mtu mwenye nguvu na anaijulia sana mitindo ya kuvalia nguo.

Jackie ambaye anafanya kazi ya kutabiria nyota za watu alionekana akitembea kando na kilabu cha densi Santa Monica akiwa amevalia blause ya rangi ya kupakwa vifungo ya waridi, jeans ya rangi nyeusi na viatu vya spoti vyenye mchanganyiko wa rangi ya hudhurungi na nyeupe.

Tukio hili alinaswa na mapaparazzi siku ya Jumatano.

Credit: bkuhabari blog

Itakuwaje MTU anamiaka 92 halafu awe Bado KIJANA!
 
Mbona Marehemu Bi KIDUDE (R.I.P) Alikua na miaka 100 na alikua anakata Mauno?
 
Back
Top Bottom