Genecandy
JF-Expert Member
- Dec 13, 2017
- 492
- 884
Wakuu wasaalam,
Issue inaanzia hapa wamekutana miaka kadhaa ilopita Binti no 4; ntatumia no ili kueleweka vzr akiwa ni single Maza wa mtoto mmoja wa kike kwa madai yake ni kwamba alibeba ujauzito akiwa shule na baba wa bintino 4 kwa hasira akataka kumfunga huyo kijana alompa mimba ikabidi kijana atoroshwe na familia yake hvyo baba wa binti akasema hataki kusikia chochote kuhusu huyo kijana wala familia yake mjukuu akizaliwa atalea mwenyewe mana uliibuka ugomvi mkubwa baina ya familia hizi mbili!!
Siku zikaenda binti no4 akajifungua mtoto mzuri wa kike kumbuka kipindi chote hicho hakuna mawasiliano baina ya familia ya kijana mwenye mimba jukumu likabaki kwa babu na bibi baada ya kujifungua binti akaendelea na shule za private japo hakufanya vzr sana lkn alifikia steji nzuri tu ilomwezesha kupata kazi na kuanza kujitegemea!!
Kipindi binti no4 anapitia changamoto hizo akiwa na 18yrs only kuna kijana ambaye ndo mumewe na ndo main character wa hii story wapo the same age i mean wamepishana kidogo sana kiumri yupo mkoa mwingine anaendelea na shughuli zake!!huyu kijana kalelewa na mama tu baada ya baba ake kufariki na kuwaacha wakiwa wadogo pamoja na wadogo zake wa3 mana kwao wamezaliwa wanne na wote ni wakiume inamaana katokea family ya single maza!!
Kijana baada ya kuhitimu 4four hakubahatika kuendelea na highlevel akawa kijana wa nyumbani akaanza kujishughulisha ni vikazi vya hapa na pale akapambana sana mpka akaanza kutoboa kwa kiasi fulani maisha hayakuwa magumu sana kwake na familia yake!!
Sasa ktk harakati za hapa na pale wakakutana na binti no4 mara urafiki ukakolea mara ukazaa penzi motomoto ikumbukwe tu wamekutana nje ya mikoa yao mana wote walikuwa kikazi hvyo wakaishia kusimuliana tu background zao juu kwa juu wakaaminiana maisha yakasonga!!
Siku;week;miezi;mwaka;miaka ndoa ikazaliwa ila kabla ya ndoa binti no4 alimweleza jamaa ukweli wa maisha yake kwamba tyr anamtoto na baba wa mtoto hajawahi wasiliana naye toka akiwa mjamzito mpka mda huo hvyo hajui yuko hai au alikufa xo mtoto amekuwa wafamilia yao hata jina anatumia ubini wao kijana hakuwa na shida coz keshampenda atamfanyaje!!
kwa upande wa kijana naye akatoa yake kuwa anamtoto mmoja wa kiume sema walitenga na mzazi mwenzie hawana maelewano mazuri hvyo issue yyte inayohusu mtoto yeye huwasiliana na mamaake ndo hujua mahitaji ya mtoto hvyo hana mawasiliano yyte na mzazi mwenzie ila mtoto anaishi kwao na mzazi mwenzie!!
Binti akafurahi akaona bora kapata wa kufanana naye single maza + single faza =happy family kuanzia hapo penzi ndo likatiwa petrol mahaba kama yote baada mwaka na nusu wakafunga ndoa ndoa ikazaa watoto wa 2 wa kike na wakiume xo familia ikawa najumla ya wtoto 4 ukichanganya na wale wa kwao hvyo inakuwa wa2 wa kike wa2 wa kiume!!
BACKGROUND YA KIJANA INAANZIA HAPA MAIN CHARACTER WETU WA STORY!!
Picha linaanzia hapa Kumbe huyu kijana miaka ya nyuma ktk kucheza cheza alimtia Mimba binti no 1 mwanafunzi huko mkoani kwao sasa kwa kuwa hakuwa na uwezo wazazi wa binti wakalea mimba mpka mtoto hvyo wazazi wa binti no1 wakamchukia sana kijana hvyo ikawa inafahamika tu kwamba anamtoto na yule binti no1 ila kijana haudumii chochote mana alikuwa bado hana kazi wala kipato + na ujana ndo kabisa hakuwa akijali chochote hvyo hata alipoanza shughuli zake akawa ndo keshasahau kuhusu huyo mtoto ni wakiume!!
Hakuishia hapo mwaka mmoja baada ya huyo mtoto alozaa na huyo mwanafunzi akaanza mahusiano na mwanamke mwingine huyo mwanamke tumuite binti no2 alimzidi kidogo umri kijana wakawa kwenye mahusiano kwa miezi kadhaa huyo mwanamke naye mimba kijana anasema hakuwa tyr mana hakuwa hata na maisha yaani hakuwa kajipanga hvyo hiki kitu kilimuumiza sana ukizingatia bado anamtoto na yule dent yaani binti no1 na hakuwa akimuhudumia chochote!!
Akaona isiwe kesi uzuri huyo binti no2 alikuwa akifanya vi bussness vyake so hela ndogondogo hazikuwa tatizo na kwa maelezo ya kijana anasema huyo binti n02 alimpenda sana yeye ila yeye kijana hakuwa deep just ilikuwa kama ku have funny afu ndo picha likaungua!
Kijana anasema akafosi hvyo hvyo tu siku ziende mwanamke akajifungua kidume tena hvyo mpaka hapo akawa na vidume vi2 kwa yule dent binti no 1 na huyu binti no2 japo wa kwa yule dent ilikuwa jina tu mana hata mtoto hakuwahi kumuona;miezi kadhaa baada ya mtoto na binti no2 mambo yakaanza kuchacha ugomvi usoisha mara hivi mara vile akaona isiwe issue kijana akasepa zake mana hawakuwa wakiishi wote na huyo binti no2 hvyo akahamia mbali na pale ili asiendelee kuonana na hyo binti no2 akamwambia mamaake awe anawasiliana na huyo mwanamke kwa issue yyte inayohusu mtoto hvyo ye akawa anatuma hela kwa mama ake then mama mtu ndo anajua mjukuu wake anahitaji nini japo mtoto alikuwa kwao na mwanamke huo Ndo ukawa mwisho kati ya kijana na binti no2!
Baada ya hapo siku zikasonga baada ya miaka kadhaa akaingia penzini tena kudate na binti no 3 ntatumia no 3 ili tuelewane no 1 ni yule dent;no 2 ni huyo waloshindwana no 3 ndo huyu nitakayemwelezea hapa!penzi likachanua anasema baada ya miezi binti naye mimba sema kwa huyu hakupaniki wala nini kwanza binti no3 alikuwa kamwelewa vzr tu yaani walipendana na pili tyr kijana alikuwa keshapevuka kiakili tyr analife fulani la kumwezesha kulea familia so hakuogopa anasema akafurahi na akampa sapport yote binti no 3 mpka imefika mda wa kujifungua akampeleka kwao kwa mama ake binti no3 kujifungua kidume tena!!
Xo mpka hapo tunaona tyr kijana ndani ya umri wake wa 20 and something tyr anawatoto wa3 wamama tofauti tofauti [emoji22][emoji22]wakaendelea kuishi na huyo binti no 3 mtoto akiwa na mwaka 1 matatizo yaakanza maelewano hakuna anasema source ni nature ya kazi yake alikuwa anasfr sana kikazi hvyo huku nyuma mambo yakawa ndivyo sivyo binti akawa anajiachia sana xo after 2yrs and half wakaachana na binti no3 binti akabeba mwanae akasepa!!
Kama kawaida yake hakuna mawasiliano na babe mama zake issue zote anamaliza bi mkubwa wake anatuma hela hvyo bi mkubwa ndo anajua anunue nini apeleke kwa wajuu zake basi!!
Sasa turudi kwa binti no 4 ambaye ndo mkewe wa sasa kama nilivyowaeleza hapo juu wakiwa wachumba ktk kuambiana background zao kijana akamwambia kuwa anamtoto mmoja ambaye ndo huyo mdogo alozaa na binti no 3;inamaana wale wawili alozaa na binti no 1 ambaye ni dent na yule binti na 2 ambaye alimzidi umri akamficha!!
Walimwengu wanasema Dunia haina siri miaka ilivyosonga mpka wakapata watoto 2 na binti na 4 ambaye ndo mkewe siri ikaja fichuka na unaambiwa kwa miaka yote hyo walijitahidi kuficha kama familia mana yeye kama yeye kijana hakuwa na mawasiliano na watoto kabisa zaidi ya hako kamoja alikozaa na binti no 3 unaambiwa mama wa kijana akijua mwanae na mkewe wanaenda anakafata kwa bibi ake mzaa mama kanaenda kujumuika na wadogo zake wakiondoka wanakarudisha kwa bibi ake!!
Sasa baada ya binti no 4 kuujua ukweli alilia sana japo anasema mumewe kadi ya benki kamwachia pesa ikiingia yeye ndo anajua sh ngapi iende kwa mama mkwe tena yy alikuwa anapiga hesabu ya mtoto mmoja tu Anasema kwamba mama wa kijana anakijikazi chake hvyo sometime anatoa hela yy kama yy kupeleka kwa mjumkuu no 2 mana yule no moja inasemekana mamake alishaolewa hvyo anaishi naye mbali xo hawana mawasiliano mazuri na mtoto no 1!!
Sasa issue inakuja hvi baada ya siri kuvuja msamaha kaombwa na ukoo mzima wa mwanaume mama wa kijana analia kama mtoto kwamba binti asimuache mwanaye akitaka asitoe hata senti yaani wasihangaike kutoa chochote kwa mtoto yyte mpka yule mdogo kwamba mama mkwe ata dili nao ye anachotaka ni kuhakikisha ndoa haivunjiki mama anamwambia kijana wake amuulize mkewe anataka kufanyiwa nini kama ni mali zote ziandikwe jina la mkewe na watoto wake hao wa2 walizaa pa1!!kitu kimoja nataka kusahau ni hiki mtoto wa binti no4 kalelewa na bibi na babu vzr mno hataki hata kuishi na mamake hata bibi na babu yake hawataki aondoke wanasema ataawacha wapweke mana ndo mjukuu mkubwa walonae na kingine mamake ambaye ni binti no 4 anafanya kazi nzuri tu xo ategemei pesa za mumewe kumuhudumia mwanae mshahara wake unatosha sana japo anasema mishahara yao hawafichani na mumewe wanakaa mezani wanapanga ila mumewe alishamwambia hataki kumbana sana kwnye mshahara wake xo yupo huru nao kama kusaidia asaidie vitu vidogovidogo ila majukumu mengine ni ya mume!!
Binti no4 anasema mumewe anamwambia akimuacha atakuwa amemuua yaani yupo serious sana na anasema toka itokee ishu hii yaani mume hana nuru kwa mawazo hajui hatma ya ndoa yao na anasema waliita kikao cha viongozi wa dini ili kuja kuwaweka sawa lkn ilishindikana mana binti analia tu mpka sasa hajui maamuzi gani afanye ye anasema anampenda sana mumewe mana amekuwa baba bora kwa wanawe na anamshow real love kiujumla anakwambia kbla ya hii ishu kuwa nje walikuwa ni happy family very happy sema kwa sasa ndo yupo na stress kila akimwangalia mmewe anamuogopa pamoja na familia yake hasa mama ake!wamedumu 7yrs kwny ndoa!!
anakwambia yale mapenzi alokuwa akionyeshwa na mama mkwe alikuwa haamini yaani mama mkwe kama rafiki yake na hivi hana mtoto wa kike na huyo mumewe ndo 1st born basi ikawa shangwe tu kumbe nyuma ya pazia wanampka mafuta kwa mgongo wa chupa dah!!
wamama kama ni ww ungechukua hatua gani kwa mwanaume kama huyu;?ni true story ilompata mwanamke mwenzetu afu nyie wanaume wa kupopoa single maza piteni hapa muone uharibifu wenu!!
Comment yangu kama ni mimi ningemwacha akalee kijiji chake alichopita akidonate sperm nyie wanaume kutwa kulaumu single maza wkt hata nyie ujana mnautumia vibaya angalieni huyu mwenzenu Alichofanya single maza wa3 kawatengeneza[emoji30][emoji15]!!poleni kwa libarua jmn kuandika kipaji ila ujumbe umefika!!