Mamaz Mwanaume mwenye watoto na wanawake tofauti tofauti ungeishi naye vipi?

stress mkuu labda hapo anawaza kesha danganywa mangapi[emoji28]anasema anamuogopq mumewe yaani ule uiminifu 100% ulokuwepo umeisha kabisa xo mpka ajipange upya kisaikolojia hayuko sawa udanganywe na family nzima ukweli kaupata mwenyw tu ikabidi amuulize mume mume kuanza kumpa hizo hadith nilizoandika hapo inauma sana ila basi tu
Huyu mwanamke anakosa tu Kujitambua ,Kuna makosa ya kuacha mwanaume kabisa yapo
Hilo kosa sawa utamlaumu mwanaume Sana Ila siyo kuvunja ndoa kisa hi upuuzi
 
[emoji28][emoji28][emoji28]dada unaroho ya kikauzu hyu mwenzetu itakuwa kuvurugwa tu akipewa counseling atakaa sawa uwezekano wa kuondoka ni mdogo nimefatilia comment maimani akiziona ataghairi kuondoka
Hapo sawa
 
Kama vipi si asepe arudi kwao,yeye ndio mwenye shida kwani kuficha watoto ambao umewakuta kunashida gani....arudi kwao akalee yule mkubwa na hao wawili
 
amwache na yeye akawe single mother mwenye watoto 3
 
Nilichogundua wanaume makosa wafanye wao yanakuwa na majibu mepesi sana ila angekuwa mwanamke ndo kamfanyia me pasingetosha kilichobaki wamama tutafute hela ukiwa na hela maamuzi hayasbr mshauri mengine mipango ya Mungu[emoji28]
Navyochukia kuongopewa sijui ingekuaje
 
mada imeisha hapa
 
[emoji30][emoji30]mkuu kinachomtesa kwa nini alimdanganya?alikuwa anaficha nini?dah ila hii issue imekaa vbaya anaweza msamehe ila uaminifu ukapungua alifamya kosa kubwa sana kumdanganya
kesi ndogo sana anaikuza tu.
kwanza huyo binti ana bahati sana ya kupendwa kiasi hicho hadi ukweni ashikilie hiyo bahati akiondoka atajuta
 
Ikiwa mwanaume amekiri kosa na amekuowa na anakupa furaha you better keep him. Ukiiona dhahabu inangaa shingoni historia yake ilikuwa matopeni.


Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 


Upendo ni kila kitu.
Imeandikwa: upendo husitiri wingi wa makosa, hata kama amewazaa
Ndani ya ndoa , achilia yaishe. Mpende, pensa hai watoto hujui atakuja kukufaa nani na hata wasipokuja kukufaa watendee mema kama wanao Mungu atakupa uzima na mema na uzao wako.
Kama baba yao Ana watu za na wewe uwe hnamsaidia kwa upendo mtashangaa miaka inaenda mko na afya njema wite na mnaishi kwa wepesi.
Maisha hayana kanuni ya aina moja @ dada.
Usilinganishe maisha yenu na ya mtu mwingine maana wengine hawasemi wanayopitia, utakuta yako yana afadhali kubwa.

Nakwambia mumeo atazidi kukupenda na kukuheshimu Kwamba u mwanamke mwenye hekima na subira.
 


Sema Sasa iwapo ikitokea mama zao na hao watoto wakawa ni tegemezi na wanatarajia kupata Hela toka kwa Huyo Mwanaume watamroga
Mumeo na wewe utarogwa vile vile sana tu maana unaonekana kama kauzibe mwisho mifaraka isoisha na kukosa maisha ya Furaha na amani.
Iła iwapo mume amejikana na kukata mawasiliano na hai wanawake nakushauri wale hao watoto kwa moyo mmoja Baraka hazitawapungukia toka juu.
 
Pole sana
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…