Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
Wahusika wametoa onyo Kwa mamba wenye tabia za kuogelea ovyo wajitathmini upya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamepatia unavyoona?Tangazo linasomeka hivi- MAMBA: SI RUHUSA KUOGELEA HAPA. Si kwamba mamba hawaruhusiwi kuogelea hapa. Watu ndio hawaruhusiwi kuogelea hapa
We unafikiri hajui basi..😂Tangazo linasomeka hivi- MAMBA: SI RUHUSA KUOGELEA HAPA. Si kwamba mamba hawaruhusiwi kuogelea hapa. Watu ndio hawaruhusiwi kuogelea hapa
Hamna kitu hapoZingatia muktadha. Mgahawani ni rahisi kusikia:
1. nani chipsi kuku- mimi hapa
2. Nani kichwa cha samaki-yule pale
Mapemaaaa[emoji1]
Naona mamba wameshasoma tangazo, hilo eneo Ni tulivu kabisa. Mamba wameshasepa
Mwezi mchanga ama samaki nchanga, kimojawapo kina kuhusuHamna kitu hapo
Nanjirinji moja hiyoMwezi mchanga ama samaki nchanga, kimojawapo kina kuhusu
HahahahaNanjirinji moja hiyo
Kijana kuna mzee amekuumiza sana. Pole utapona tu.Mi niliwahi kusema mamba ni kiumbe muelewa sana....
Si unaona wanawekewa na mabango kabisa...Hapo ni ngumu kukuta mamba...
Bora ukutane na mamba ila sio mzee wa hovyo akiwa anafakamia katoto ka 2000 . Wanakuaga na hasira za ajabu...
Huku jf unawakuta wapole ila kwenye vitoto wanakua wakali kama mbwa mwitu...
Mkuu wazee wa hovyo ni wa kuogopa kuliko hao mamba...Kijana kuna mzee amekuumiza sana. Pole utapona tu.
kwa maoni yangu wamepatia japo wamekanganya sentensi katika mukhtadha wake, huwezi kuzuia mamba kuogelea hapo kwani kimsingi mamba ndio huishi majiniWamepatia unavyoona?
Kuweni na huruma na Wazee 😜Mi niliwahi kusema mamba ni kiumbe muelewa sana....
Si unaona wanawekewa na mabango kabisa...Hapo ni ngumu kukuta mamba...
Bora ukutane na mamba ila sio mzee wa hovyo akiwa anafakamia katoto ka 2000 . Wanakuaga na hasira za ajabu...
Huku jf unawakuta wapole ila kwenye vitoto wanakua wakali kama mbwa mwitu...
Mi sijawahi kuwahurumia waze ya a hovyo...Kuweni na huruma na Wazee 😜
Mkuu unatufokea hadi Wazee wako Mkuu 😜Mi sijawahi kuwahurumia waze ya a hovyo...
Acha niwambie ukweli tuu aiseee