Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,934
- 10,206
Mkuu hujui kwamba wasomi wengi wa nchi hii ni watumiaji wakubwa wa Google translate?Wahusika wametoa onyo Kwa mamba wenye tabia za kuogelea ovyo wajitathmini upya.
Na ndio watazamaji wakubwa wa movie zilizotafsiriwa