Mamba wameonywa kutoogelea hapa

Mi niliwahi kusema mamba ni kiumbe muelewa sana....

Si unaona wanawekewa na mabango kabisa...Hapo ni ngumu kukuta mamba...

Bora ukutane na mamba ila sio mzee wa hovyo akiwa anafakamia katoto ka 2000 . Wanakuaga na hasira za ajabu...

Huku jf unawakuta wapole ila kwenye vitoto wanakua wakali kama mbwa mwitu...
 
Kijana kuna mzee amekuumiza sana. Pole utapona tu.
 
Kuweni na huruma na Wazee 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…