Mambo 04 ambayo wabongo (tabaka la chini na kati) tunayapa kipaumbele na yanaturudisha nyuma sana huku uswahilini

Mambo 04 ambayo wabongo (tabaka la chini na kati) tunayapa kipaumbele na yanaturudisha nyuma sana huku uswahilini

hiyo Namba moja inawatesa sana waTZ, yani unakuta mtu fukara kabisa toka anazaliwa anazungumza kuwa yeye ana nyota nzura ya mafanikio ila imeibiwa
 
Watu wa tabaka la chini wamejaa ujinga mwingi, kwaio hayo uliyoyataja ni matokeo ya ujinga mwingi.
 
Back
Top Bottom