Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 2, 2024 #21 Hakika, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana... Cc: Mahondaw
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Mar 3, 2024 #22 hiyo Namba moja inawatesa sana waTZ, yani unakuta mtu fukara kabisa toka anazaliwa anazungumza kuwa yeye ana nyota nzura ya mafanikio ila imeibiwa
hiyo Namba moja inawatesa sana waTZ, yani unakuta mtu fukara kabisa toka anazaliwa anazungumza kuwa yeye ana nyota nzura ya mafanikio ila imeibiwa
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Mar 3, 2024 #23 As long as Mpira na Kubet havipo. Am safe.
Northpole JF-Expert Member Joined Nov 18, 2023 Posts 590 Reaction score 853 Mar 3, 2024 #24 Watu wa tabaka la chini wamejaa ujinga mwingi, kwaio hayo uliyoyataja ni matokeo ya ujinga mwingi.
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 6,944 Reaction score 14,351 Mar 3, 2024 #25 ngosha wa mwanza said: Kuna dada mmoja alinimabia unajua mm na nyota ya simba ndo maana wanaume hawachomoi wakati ana watoto watatu na kila mmoja ana baba yake niliishia kucheka sana. Click to expand... Bila kuweka Dini uzi wako ni batili
ngosha wa mwanza said: Kuna dada mmoja alinimabia unajua mm na nyota ya simba ndo maana wanaume hawachomoi wakati ana watoto watatu na kila mmoja ana baba yake niliishia kucheka sana. Click to expand... Bila kuweka Dini uzi wako ni batili