CalvinKimaro
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 245
- 314
Hapana aseee!! Kwan CCM wenyewe ni wakina nani!! Inaonekana upo affiliated sana na Chadema weweUnashindwa kufahamu, watanzania wote wanaelewa kwamba ccm hawana uwezo wa kupambana na upinzani, ccm mara zote wanashinda kwa wizi wa kura mashaidi ni wananchi wenyewe, sema safari hii mmetia fora sana baada ya kuiba kura, nyie mmejitangaza washindi kwa 94 % hongeren sana, mkae mkijua kila mtanzania anajua yote myatendayo, ni swala la muda tu tuombe uzima