Mambo 10 kuelekea Simba vs Orlando Pirates

Kukaba kwa umakini na kuzitumia nafasi zinazopatikana bila kukosa, hao jamaa kwenye counter attack wako vizuri Simba wawe makini sana.
 
Hapo kwenye udhaifu wa Orlando Pirates tukumbuke ligi yao ni bora zaidi ya ligi yetu.
 
Fact hii mkuu
 
JWANENG GALAXY alitoka CCM KIRUMBA??
Nimeambiwa ile ilikuwa planned.

Simba walichungulia CCL ingekuwa mtihani mkubwa.

Ikabidi wajitazamie CAF CC ili wapate mafanikio zaidi.

Kitu ambacho naona kinaenda kutimia.
 
Simba siku hizi wameacha kuchezea mpira wanacheza mpira pasi ikitoka kwa manula inapigwa mpaka kwa Morrison sio kama Gomez pasi 100 hawajafika dimba la kati sasa pasi nne simba wako golini leo nategemea wale Orlando wataionja pumzi ya moto .
 
Hapo namba 2 angecheza Mwenda, G Michael akacheza 3,Kapombe na Shambalala wakacheza kama mawinga wa uwongo, Wawa akacheza kama 6 wa uwongo na Engeneer kama 8 wa uwongo, Onyango na Inonga kama kawaida, Mgalu Sakho mbele sawa. Hapo hata moja hawapati
 
Great plan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…