Mambo 10 kuelekea Simba vs Orlando Pirates

Mambo 10 kuelekea Simba vs Orlando Pirates

Kukaba kwa umakini na kuzitumia nafasi zinazopatikana bila kukosa, hao jamaa kwenye counter attack wako vizuri Simba wawe makini sana.
 
Orlando Pyrates kwa sasa ni timu ya kawaida sana, sio kwenye shirikisho tu hata kwenye ligi yao, hivyo Simba na mashabiki msiwe na wasiwasi wote zaidi ya kuwa makini na nidhamu.

Tatizo liko hapa zaidi.
1. Uwepo wa VAR kwa Mkapa (hii sio habari njema sana kwa Simba)

2. Hatari ya Simba kuruhusu goli (hili ni jambo linaloweza kutokea kwa kuwa Simba itaingia uwanjani kwa msukumo wa kusaka magoli tu na kujisahau kuzuia)

3. Hatari ya Simba kupata magoli machache (Ni wazi Orlando watakuja na msukumo wa kuzuia tu)

Binafsi nadhani huenda mechi itakwisha kwa Simba kuvuna goli mbili kwa bila.
Hapo kwenye udhaifu wa Orlando Pirates tukumbuke ligi yao ni bora zaidi ya ligi yetu.
 
Game ipo hapa, kule naishauri Simba iwaite makocha wakongwe wazawa kushauri game za away hasa Kibaden. Kikosi kikipangwa vizuri na game plan nzuri hata kule hawatoki. Mfano game za away sioni umuhimu wa Kapombe na Tshabalala.

Ni kupanga solid back 3 ya Wawa, Inonga na Onyango. Alafu Viungo 5 Kennedy ,Lwanga, Kanoute, Mzamiru, na Erasto ( Mzamiru na Kanoute kusaidia counter attack). Mbele weka Mugalu na Sakho. Hapo hatufungwi goli zaidi ya 2
Fact hii mkuu
 
JWANENG GALAXY alitoka CCM KIRUMBA??
Nimeambiwa ile ilikuwa planned.

Simba walichungulia CCL ingekuwa mtihani mkubwa.

Ikabidi wajitazamie CAF CC ili wapate mafanikio zaidi.

Kitu ambacho naona kinaenda kutimia.
 
Simba siku hizi wameacha kuchezea mpira wanacheza mpira pasi ikitoka kwa manula inapigwa mpaka kwa Morrison sio kama Gomez pasi 100 hawajafika dimba la kati sasa pasi nne simba wako golini leo nategemea wale Orlando wataionja pumzi ya moto .
 
Game ipo hapa, kule naishauri Simba iwaite makocha wakongwe wazawa kushauri game za away hasa Kibaden. Kikosi kikipangwa vizuri na game plan nzuri hata kule hawatoki. Mfano game za away sioni umuhimu wa Kapombe na Tshabalala.

Ni kupanga solid back 3 ya Wawa, Inonga na Onyango. Alafu Viungo 5 Kennedy ,Lwanga, Kanoute, Mzamiru, na Erasto ( Mzamiru na Kanoute kusaidia counter attack). Mbele weka Mugalu na Sakho. Hapo hatufungwi goli zaidi ya 2
Hapo namba 2 angecheza Mwenda, G Michael akacheza 3,Kapombe na Shambalala wakacheza kama mawinga wa uwongo, Wawa akacheza kama 6 wa uwongo na Engeneer kama 8 wa uwongo, Onyango na Inonga kama kawaida, Mgalu Sakho mbele sawa. Hapo hata moja hawapati
 
Great plan
 
Back
Top Bottom