Sangizi
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 1,942
- 4,230
Trump kasaini file la kifo cha JFK liachiwe wazi kwa public, tutajua kiundani kuhusu hili mkuu very soon![]()
![]()
Hapo kqenye namba 5 inadaiwa ili kuficha siri ya bwana mkubwa JFK kutoka na mlimbwende huyo ikabidi wamuue kimyakimya![]()