MAMBO 10 KUHUSU MKEO YAZINGATIE..
1. Mkeo sio mkamilifu, msamehe.
2. Mkeo ndio uti wako wa mgongo, usiuvunje.
3. Mkeo ni tunu, mthamini.
4. Mkeo ni kito adimu, mtunze.
5. Mkeo ni rafiki yako bora, muweke karibu yako.
6. Mkeo ni furaha yako, mnawirishe.
7. Mkeo anatakiwa kuwa bora kabisa, mchangamkie.
8. Mkeo ni pande la mwili wako, mstawishe.
9. Mkeo sio ibilisi, usimpige teke.
10. Mkeo sio mzuri tu kitandani, mshirikishe katika kila jambo lenye maslahi yako na hata yake.
Yafanye hayo iwapo mkeo / mwenza wako atakuwa na haya mambo 10.
1.Anamuabudu Mungu ( Kufanya ibada )
2. Anakupenda
3.Anakuheshimu
4.Akuthamini / Anakuhisani
5.Akujali
6.Akuchangamkie / Akupambanie
7.Msikivu
8.Kauli yako kwake ni amri kwa hiyari na upendo
9.Awe na upendo na kuwaheshimu NDUGU zako kwa namna yeyote.
10.Hakutukani matusi madogo wala makubwa ni awe ni mwenye kufurahia uwepo wako ( Hatamani ukasirike kwa namna yeyote ).
Jumapili njema.