Mambo (10) kumi usiyo yajua kuhusu Rais John Pombe Magufuli

Nimekwambia Cha Kwanza ni ushahidi uwekwe wazi Kwanza Kama unao na si kumtuhumu mtu kwa mihemko, we Kama una ushahidi weka hapa na Kama huna basi hahusiki huyo.

Ni hivi, ukweli uko kama unavyosemwa. Hili haijalishi unapenda au hupendi.
 
Ni hivi, ukweli uko kama unavyosemwa. Hili haijalishi unapenda au hupendi.
Hakuna jipya Kama ushahidi huna basi kila la kheri kwenye propaganda zako.
 
Yaani nimecheka sana hiyo namba 10
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kaka kama kaka.
 

11. Ameshindwa kuitendea haki sekta ya ajira kwa miaka kumi aliyopatiwa. Ni Rais wa kwanza Tanzania aliyeua sekta ya ajira na kuifanya sekta ya elimu ionekane haina faida kwenye jamii maana tayari watu wanaamini kuwa ukisoma Ni kupoteza muda kwani mwisho wa siku wewe na degree yako utarudi kwenye maisha ya kupiga debe stend
 
Sawa tumekusikia ndugu Magufuli...

Lakini sijaona ajabu hapo zaidi ya ushamba.

Vipi uchumi wetu mbona kimya?
Tupe tafsir sahihi ya ushamba.usije kuwa wew ndio mshamba
 
Namba 3 ni Matango pori!

Namba 6 ni utopolo mtupu!

Namba 8 ni uongo wa wazi kabisa!
 
Sawa tumekusikia ndugu Magufuli...

Lakini sijaona ajabu hapo zaidi ya ushamba.

Vipi uchumi wetu mbona kimya?
Amepanda ndege mara Saba amenunu 11 zinazotupigisha hasara mwanzo mwisho
 
These facts speak for themselves kumhusu Rais wetu mpendwa. This ismy take. Asante sana kwa mwenye uzi wake. Tutafutie na namna alivyopona pale alipowekewa sumu na wabaya wake!
 
Namba 6 kidogo ina walakini. Kuna watu wamehifadhi ile namba ya pie (approximately equal to 22/7)kwa zaidi ya nafasi za desimali 1,000 bila kukosea hata tarakimu moja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…