Mambo 10 nilioyaona kwenye Simba Day

Mambo 10 nilioyaona kwenye Simba Day

Simba day ni propaganda kupoteza lengo kuwa wanachama na wapenzi wa simba wame tapeliwa na kunyanganywa timu yao na mhindi na genge lake la walio harakisha deal hio baada kuwahonga.
Anacheza na akili za wapenzi wa soka .
Hili sio wengi wana uwezo wa kilifikiria.
Ni sawa na ile show ya mitama ya ccm uwanja wa uhuru.
Kwangu simba ni tapeli ametuibia club yetu kwa manufaa ya biashara zake

Sent using Jamii Forums mobile app
Usitoke jasho la kwapa nafasi bdo zipo za kuwa na hisa ndani ya club.Muhindi ama 49 na club ina 51.club inao uwezo wa kukuuzia hisa na ww ili mlete ushindani ktk club.Sisi tinahitaji maendeleo ya Club na heshima ktk soka la Africa na dunia kwa ujumla.kazi kwako kama kidume kachukue hisa na ww sio kubwabwaja tu
 
[emoji23][emoji23] hapo hakuna timu hata ya kubeba ligi kuu msimu huu, sembuse hilo kombe la cuf, au unafikiri kule kuna kina vital o
Yaani nyani hajawahi kuwa na akili kabsa, HILO KOMBE LA CUF ndio lipi?? Lipumba ana kombe siku hiz?
 
Back
Top Bottom