Elections 2015 Mambo 10 niliyojifunza 'sanaa za maonyesho' za Lowassa - Arusha


Kwa statement yako, wepi ni wengi kati ya waliokosa promotion kwa wabunge? Au waliopata promotion?kisha utapata jibu. Kwa taarifa za wajuzi Wa mambo wabunge 154 team lowasa,na wanec 800 wengine wenye kura turufu utawaona white States siku hiyo. Wale waliokuja pale ni viongozi tu team EL.
 
Lowassa kuwa Rais maana yake ni moja tu. Tanzania ni nchi ya wajinga na mazezeta.
Siamini kama nchi yetu imefikia huko.
 
Pole, mbwembwe zilizidi, akapoteza hoja. Maswali kuhusu ufisadi, maswahiba wake na usafi/vyanzo vya utajiri wake hayakutolewa majibu. Matumizi makubwa kutangaza nia tu, eti anataka kuondoa umaskini, wapi na wapi
Wanasiasa wote,hasa wa afrika na Tanzania kwa ujumla hutumia ujinga na umaskini wa wananchi kama tool ya kukamatia madaraka,Lowassa na wanasiasa wengine wanalijua hilo,hata watangaza nia watakaoendelea watabwabwaja hayo hayo,ila ukweli ni kwamba wakiingia madarakani wanazunguukwa na matapeli na mafisadi na kusahau kabisa walichoongea, juzi kuna mdau akawageuka watu,akawaambia kuwa "NILIPOSEMA MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA SIKUMAANISHA KUWAJAZA MAPESA,NILIMAANISHA KUWALETEA HUDUMA BORA ZA AFYA,BARABARA NA ELIMU" sasa huduma bora hizo ziko wapi?mjini kuna majengo ya hospitali ila dawa na vifaa tiba ni majanga,vijijini choo cha shule hata Mbuzi halali,so shame..............................
 
Njaa ni ugonjwa mbaya kuliko yote.Hata shujaa anasalimu amri,viongozi wenye njaa na wapiga dili wako kundi EL
 
tunaigiza nyani kwenye mahindi tukitegemea kuvuna mabua wakale ng'ombe
 
Hakika Lowasa ni mwizi na hafai kuwa rais.Fedha anazotumia kuhonga watu atazirudisha vipi?
 
Kwanza naomba msamaha kwa kichwa cha habari ambacho kimejumuhisha watu wote .

ila lengo langu ni kutaka kuweka sawa jambo moja kuhusu mbio za uraisi zinazoendelea kwa sasa .kuna bahadi ya wanasiasa wanatoa hadi usafiro hadi kwenye maonyesho yao ya sanaa naweza kuyaita hivyo ila maswali ninayojiuliza ni je 'Hizi safariza za matumaini zinatupeleka wapi,''

wenyewe wanasiasa wanadai ukitaka kumkamata Mtanzania wewe njoo na kauli mbiu yenye kuvutia basI utamkamata kiulaini, ila mimi nasema kitu hapa kuna njia ya kuzirudiaha hizi pesa zote wanazotumia kwa sasa kuanzia hizi za usafuri hadi ......

nashangaa zaidi ni jinsi ambavyo baadhi ya wanachuo kuingia kwenye mkumbo huu kwa kile ninachokiita tamaa ya fedhe pamoja na VITZ na IST za pesa ndogo kutaka kuuza nchi kwa mafisadi

naomba niishie hapa ila iki tunachoenda kukifanya

HAPA WATANZANIA NI SAWA NA KUJIFUNIKA SHUKA NA KUJABA ALAFU UKIDHANI KUWA UTAWAKOMOA WATU WA NJE KUMBE ........
 

Kangi jana alijivua nguo hadharani, huyu atatemwa CCM mchana kweupe na UKAWA tusimpokee labda aende ACT.
 
siasa za enzi ya ujamaa zimekwisha..siasa pesa..naona umekula maharage yaliyoiva nusu nusu
 
kaka chinembe unamaana wewe upo tayari kupokea pesa kwa sasa ili upate shida miaka mitano ijayo au sijakuelewa
 
Last edited by a moderator:
kaka chinembe unamaana wewe upo tayari kupokea pesa kwa sasa ili upate shida miaka mitano ijayo au sijakuelewa
sasa ulitaka lowasa aingie punda na nguo za magunia uwanjani? kama an watu wake maalum kawaalika angewacha walale nje bila hata kula? siasa za enzi za mwalimu hutaziona milele,hata chadema hutoa pesa kwa waalikwa wao,kama una njaa kaa mbali na siasa
 
Last edited by a moderator:
Ccm chama cha wakulima na wafanyakazi...hope bado hakijabadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…