Kama watanzania hasa wasomi, tujifunze kufanya utafiti hapo kidogo kabla ya ku present any issue wheather it is for, or against especially if it is somebodys willing and desire katika kuomba ridhaa. Hata tukimuhukumu mtu ingawa si vema Sana lkn Kama Kuna ulazma WA kumhukumu basi tujitahidi kuwa WA kweli zaidi Na zaidi. Kwa maneno uloandika kuhusu Lowasa mengi hujamtendea haki kabsa, suala la bifu kalikana toka siku anaanza Dodoma, pale alikuwa anaelezea Profile yake Kama Mgombea, kazi ndan Na nje Chama alizozifanya, suala la afya sijamchunguza vizuri, ila vingine hujamtendea haki kabsa, hata kwa Mungu wako Na kwa Iman yako try to be the righteous one. Katika suala la kumchambua mtu si zuri, ila Kama Ni kuchambua tuchambue kazi za mtu, Na sifa za mtu Na uwezo wake kiafya, kiakili n.k so guys lt us be objective not too much subjective be realistic not too much Idealistic.thanks