Elections 2015 Mambo 10 niliyojifunza 'sanaa za maonyesho' za Lowassa - Arusha

Elections 2015 Mambo 10 niliyojifunza 'sanaa za maonyesho' za Lowassa - Arusha

Kumbe Lowasa ni mhitimu chuo Kikuu Dar kwa shahada ya sanaa za maonyesho? Sasa anatumia vizuri elimu ya sanaa za maonyesho kwenye kampeni zake za kisanii.


Lowassa kasoma Bachelor of Arts with Education (hons)
 
Namba 1, 2 na 3 hazina chenga kabisaaa

Ila mkuu usiwe na hofu, ccm hawawezi fanya kosa kumsimamisha huyu kiume, let us wait and see!!
 
asante sana , kiukweli umeandika kila kitu ! na nakiri kwamba una akili sana , umeona ambayo wengi hawajaona , hongera sana .
 
Well said mkuu.....huyu mamvi ni bonge la msaniii
 
Mi nachojua ccm tunaizika come octoba, hizi zingine mbwembwe tu
 
Huyu wa leonimemwona Namsubiri wa kesho. nasikia na mwingine yupo keshokutwa. tutakoma kila siku kuna mtu anatangaza NIA.
Bado nipo neutral mpaka nitakapomwona wa mwisho ndipo nitatoa maoni yangu.

mwingine!!!!!
 
Kilicho nivutia watu wengi wenye asili ya kaskazini walikuwa wakisema hawaipendi ccm na walikuwa wakijinasibu kwa vyama vya ukawa leo baada ya mkutano wa luwasa wamerudi ccm na kumsifia sanaa luwasa.
Kumbe walikuwa ukawa ukawa kwa mkopo leo wamerudi chama lao zamani.
 
Uko sahihi edward akapumzike ale pesa zake huko kwao monduli
 
Mimi nilishasemas sitojihangaisha kujua mgombea mzuria au mbaya kutoka CCM kama CCM wasivyo hangaika kujua mgombea mzuri au mbaya kutoka UKAWA. Hivyo wamsimaishe nani lazma apate zake bakora
 
2005: Nguvu, ari na kasi mpya

2010: Maisha bora kwa kila mtanzania

2015: Safari ya matumaini

2025: Mimi naona Mungu njoo uchukue nchi yako tu
 
Mwandishi wa hii makala kumbe ni yule Masawe Melisa anaye muabudu Slaa na Mbowe.....sijaona cha maana hapo bali hadithi za Bavicha...

Unachojua wewe ni kushobokea kina lemmutuz, diamond nk. siasa waachie wenyewe Koku
 
Back
Top Bottom