Mambo 10 niliyoyaona jana CRB na Utopolo

Dar hakuna mijusi wala Makabuli mpaka itoke Konde boy?
Ingekua mpira unaendana na unachosema,timu zetu zisingepata tabu kutafuta wachezaji wenye viwango vikubwa
 
akuna kitu kama icho,Hersi tu anazurula huko Duniani kutafuta mali anatoa hela anazileta kwenye timu na zinaleta faida.
 
Umaskini wa fikra ndio huu. Nyuzi za hivi zinachafua akili,najilaumu kusoma huu upuuzi. Mtoa mada badili title andika "Mambo 10 ya kishirikina niliyoona jana" ili kuepusha kupotezea muda wenye akili timamu.
Nakazia.
 
Popoma kwenye ID nyingine

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Nilikuambiaje jamaa ni mijinga jinga...tazama nyuzi zao...za ki mbumbumbu tu
 
Umaskini wa fikra ndio huu. Nyuzi za hivi zinachafua akili,najilaumu kusoma huu upuuzi. Mtoa mada badili title andika "Mambo 10 ya kishirikina niliyoona jana" ili kuepusha kupotezea muda wenye akili timamu.
Upo sahihi kabisa
 
Akili za mbumbumbu hizi
 
Umesema Mambo 10. Hapa umeandika mangapi? Akili haiko sawa bado 5G mnara umesimama
 
Huyu alikomwe atakufa mapema maana mijini anayobebeshwa ni mizito mpaka anazimia
 
Wakati mwingine bora unyamaze kuliko kuongea utumbo,
 
itaendelea au!!!
mambo 0 kwenu ni matano?
 
Ukiona Manara kaenda kunyoa nywele, ujue ndio basi, zinatumika sana katika kuchanganyia madawa, hata pale simba walizitumia sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]Namna simba inayoupa kipaumbele uchawi inaonyesha ni kiasi gani ndio mbinu yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…