Mambo 10 niliyoyaona jana CRB na Utopolo

5.Msicheke na nyani sasa hiv, wenzenu ni wakatili sana, hawana uwezo dimbani isipokuwa wanafanya makafara ya hatari ambayo nyie ndio mlikuwa waanzilishi na sasa wanatamba nazo mbinu zenu.

Kuna vitu mkiwa mnaandika muwe mnavisoma kwanza...

Kwamba wachezaji wa Yanga hawana uwezo dimbani???

Umetazama ile mechi au umesimuliwa?
 
Haya mambo ya kuroga sijui majini embu acheni.
Investment katika mpira ndio kila kitu.
Hata mechi ya kwanza na CRB mpaka Yanga akafungwa ile mechi kila mtu alisema Yanga alistahili kushinda maana alimzidi CRB kila idara kiuchezaji isipokua Metacha alizingua na golini Yanga hawakuwa Clinical.
ACHENI KULIALIA FANYENI INVESTMENT MAKOLO.
 
Uchawi Wetu Ni KuwaNa Wachezaji Wenye Quality Ya Juu Ambao Ni Pacome, Aziz Ki, Max , Aucho, Bacca, Diara & Lomalisa


Uchawi Wenu Ni Kuwa Na Wachezaji Umri Umekwenda Saidoo, Freddy, Kapombe, Manula, Mzamiri, Kibu.


Hapo Tukitafuta Mchawi Ni Nani Bado Unaona Dar Young Africans Mabingwa Wana Majini Kumbe Umbumbumbu Umetawala Kichwani Na Kuamini Ushirikina Instead Of Uwekezaji
 
Wazoefu wa kufuzu na kutoa burudani Simba wanawakaribisha tarehe 2 kwa mkapa mje mpate burudani.
 
Mbumbumbu
 
Sasa kwa hizo mbinu mbona nchi haina WC.

Au hazivuki boda
 
Uliposema tu “hawana uwezo dimbani” nikajua tu hili bandiko ni la hovyo kabisa
 
Kweli sisi simba ni mambumbumbu

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Wengine ambao tunaangalia mambo kwa undani na tunajua mambo mawili matatu kuhusu undani wa hizi timu, hili suala tulishaliongelea toka mwaka jana.
Kama uchawi unanafasi kubwa kwanini wanasajili wachezaji wa gharama?
 
Nonsense!

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Mleta post ana kitu huyu asipuuzwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…