inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Yaani Simba utasema hufanya la maana klabu bingwa na kwamba yanga kishatoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani Simba utasema hufanya la maana klabu bingwa na kwamba yanga kishatoka
Yanga kishatoka Ngoja alahly naye aje ajipigie 🤣🤣🤣Yaani Simba utasema hufanya la maana klabu bingwa na kwamba yanga kishatoka
Saa kumi siyo mbaliYanga kishatoka Ngoja alahly naye aje ajipigie 🤣🤣🤣
Mshike mkia kwenye Kundi lenu hakafu ndo mtajua kwanini ni ngumu kufika Robo Fainali kwenye Club bingwa
Utashuhudia Pira smart pira pangilio pira magoli karibu sanaSaa kumi siyo mbali
Tangu 2019 Yanga SC "Wananchi" wamefukuzisha Makocha wa Mbumbumbu SC watano, endelea kusubiri meli Airport [emoji23]Uto tarehe 2 december watafukuza kocha.
Wavulana hao hao wa soka walikutafuna bikra ya NBC PL 05/11/2023 goli 5-1 [emoji1787]Nilichokiona ni kwamba timu moja ilikuwa na wavulana wa soka na nyingine ilikuwa na wanaume wa soka!! Wavulana wa soka hulenga kuonekana lakini wanaume wa soka hulenga kupata matokeo!! Kingine nilichokiona ni kuwa mechi ya jana imethibitisha kuwa ubora kwenye mashindano ya kombe la losers haufui dafu kwenye mashindano ya kombe la mabingwa!!
2021/2022 na 2022/2023 Berkane SC & USM Alger Mabingwa wa super cup Africa walitoka kwenye Shirikisho na kuwatandika kisawasawa Mabingwa wa CL Africa.Nilichokiona ni kwamba timu moja ilikuwa na wavulana wa soka na nyingine ilikuwa na wanaume wa soka!! Wavulana wa soka hulenga kuonekana lakini wanaume wa soka hulenga kupata matokeo!! Kingine nilichokiona ni kuwa mechi ya jana imethibitisha kuwa ubora kwenye mashindano ya kombe la losers haufui dafu kwenye mashindano ya kombe la mabingwa!!
Sema wewe Mbumbumbu SC fan ni Mstaarabu sana tofauti na Makolokolo SC fans wengine [emoji28]Yanga kishatoka Ngoja alahly naye aje ajipigie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mshike mkia kwenye Kundi lenu hakafu ndo mtajua kwanini ni ngumu kufika Robo Fainali kwenye Club bingwa
🤣🤣🤣Sema wewe Mbumbumbu SC fan ni Mstaarabu sana tofauti na Makolokolo SC fans wengine [emoji28]View attachment 2824475
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mbona Bingwa wa Hilo kombe munaita looser alimfunga Bingwa wa CL.Nilichokiona ni kwamba timu moja ilikuwa na wavulana wa soka na nyingine ilikuwa na wanaume wa soka!! Wavulana wa soka hulenga kuonekana lakini wanaume wa soka hulenga kupata matokeo!! Kingine nilichokiona ni kuwa mechi ya jana imethibitisha kuwa ubora kwenye mashindano ya kombe la losers haufui dafu kwenye mashindano ya kombe la mabingwa!!
Jipe moyo!1. Yanga wamecheza mchezo mzuri sana lakini mpira ni matokeo
2.Ligi Kuu ya soka hapa bongo ilimpa kiburi Gamondi na kujiona kuwa anaweza kumvamia yeyote hapa duniani, hakujua kuwa ligi yetu ni kivyetu vyetu.
3.Huwezi kwenda kushiriki michuano mikubwa kama hii kwa ngazi ya afrika ukawa na mabeki aina ya Ibrahim Job na Ibrahim Bacca, au Mwamnyeto never on earth
4. Kwa kiwango cha jana cha Yanga kiukwel wakiendelea vile hapa Tanzania na afrika mashariki hakuna wa kuwazuia
5.Pacome na Mzengeli wabadilike, waache kuwa wachezaji machachari badala ya wacheza bora
6.Fowadi Yanga hakuna, Clement Mzize is too young to play against CRB
7.CRB watapata taabu sana mechi ya marudiano hapa nyumbani kwani they are not good to that extent
8.Mechi za ugenini hasa unapocheza na mwarabu kwao lazima uwe na adabu, otherwise yatakutokea kama ya jana.
9.Ligi ya mabingwa sio kama kombe la Loser, Gamondi japo ni mgeni atahadharishwe
10.Kipa Metacha Mnata sio kaliba ya Diarra, hajaacha mchezo wake wa kitoto wa kujifanya kaumia
Nimekutumia picha yako ya jezi nzuri Msimbazi , au nikutumie uzi wa Yanga Chifu [emoji4][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahyo mkuu Picha ya makalio vipi Tena na Simba [emoji1787][emoji1787]
Hizi promo za Jersey zingine zinadhalilisha
Uzi wa Yanga mtamu sana chief ule ntauvaa hata nikiwa nyumban na wifeNimekutumia picha yako ya jezi nzuri Msimbazi , au nikutumie uzi wa Yanga Chifu [emoji4]View attachment 2824572
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Sawa MunguNyie jiandaeni mwakani maana hao mliochezanao jana always hawaishii makundi na kama mgetaka kuzu hatua inayo fata jana mgelazimisha sale tu tofauti na hapo safari yenu imeishia hapo
I second you 50%.Kama Gamondi angekuwa na akili ya ziada angejifunza kitu kutoka kwa Waarabu jana, Pamoja na kuwa Belouizdad walikuwa kwao ila muda mwingi sana waliutumia Kupaki Basi,
Ila yanga wenyew walikuwa wanafunguka tu ovyo na Belouizdad wakawa wakipata mipira wanaikuta yanga imetawanyika na Gapes zipo nyingi sana hivyo wanaenda kupata magoli kiurahisi tu,
kilichowafanya jana Yanga kufungwa ni kutojua tu kuyacheza haya mashindano vingnevyo wangeshinda, haya mashindano inabid ujilinde zaid alaf ndo upange mipango ya kushinda hata kama ni kwa Goli moja,
otherwise ukitaka kupata matokeo ya Goli za haraka haraka na kwa Kufunguka kushambulia kila muda basi Yale ndo yanayokukuta,.... Naimani watajirekebisha na Kujifunza.
Wachezaji toka kwenye timu za Taifa walikuwa hoi kwa kukosa mapumziko ya kutosha.
Zengeli, Aziz Ki, Lomalisa hata Job hawakuwa kwenye ubora wao haswa.
Lini Mamelodi Sundowns walipaki basi ugenini?
Makolokolo SC fans pambaneni na mechi yenu ya leo kwanza maana Mwenzio akinyolewa tilia maji zako.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Wew ndo umeeleza uhalisia, wengi humu ni ushabiki tuKama Gamondi angekuwa na akili ya ziada angejifunza kitu kutoka kwa Waarabu jana, Pamoja na kuwa Belouizdad walikuwa kwao ila muda mwingi sana waliutumia Kupaki Basi,
Ila yanga wenyew walikuwa wanafunguka tu ovyo na Belouizdad wakawa wakipata mipira wanaikuta yanga imetawanyika na Gapes zipo nyingi sana hivyo wanaenda kupata magoli kiurahisi tu,
kilichowafanya jana Yanga kufungwa ni kutojua tu kuyacheza haya mashindano vingnevyo wangeshinda, haya mashindano inabid ujilinde zaid alaf ndo upange mipango ya kushinda hata kama ni kwa Goli moja,
otherwise ukitaka kupata matokeo ya Goli za haraka haraka na kwa Kufunguka kushambulia kila muda basi Yale ndo yanayokukuta,.... Naimani watajirekebisha na Kujifunza.