Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
1. Kama sio Rais wa Yanga kwenda kuimarisha mahusiano na Al Ahly leo wangekula 10
2. Timu inategemea sana mganga kuliko uwezo wa kocha.
3. Kama sio kuongea na washika vibendera leo Taifa lingeingia aibu.
4. Gwede amedhihirisha kuwa pale Taifa alisaidiwa sana na nguvu za giza.
5. Ingekuwa Al Ahly wanataka kuidhalilisha nchi leo ingekuwa zahma.
6. Pacome Zuzu ni zuzu hasa sio masihara.
7. Uchawi hauvuki maji, uwezo hamna
8. Al Ahly wamechezesha nusu kikoc cha kwanza nusu cha pili, Kipa wao na Ali Dieng hawakuwepo leo na yule beki wao wa kulia
9. Mganga anaheshimika sana Avic Town kuliko kocha.
10. Gamondi asijifu, uwezo uko kwa mganga na sio kocha.
11. Utopolo wa ugenini ni sawa na Mtibwa sugar ya ss hv
12. Mshukuruni sana mzungu pori kwa ushirikina.
13. Kiukweli Utopolo kipa wanae, wengine wote wezi tu
14. Eti hii ndio timu inayotisha hapa bongo, jamani
15. Mganga wenu oyeeeeeee